Tetesi: Rwanda kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya Madini

Mbona Rwanda ni masikini yaani masikini awekeze kwa mwenye afadhali

This is a big time jok...I dont buy this at all
Kama taarifa za Rwanda kuharamia maliasili ya Congo ni za kweli....ikiwa taarifa hizi uwekezaji Tzania ni za kweli pia basi mpaka kufikia sasa Rwanda inaweza kua ktk nafasi ya kuwekeza ktk sekta ya madini Tzania...Rwanda haihitaji kua kama ulaya kuwekeza ktk sekta hii ya madini...ni suala la mikakati smart tuu ya kiuchumi na uongozi makini kuwezesha utekelezaji wa hio mikakati, lakini pia kuibiwa kutategemea pia udhaifu wetu ktk kufikia makubaliano....

Jambo la muhimu ni kua uwekezaji wowote ktk sekta ya madini na maliasili zote kwa ujumla sio tuu unatakiwa kutunufaisha kifedha manufaa ya msingi kuliko yote ni elimu yote na teknolojia inayohusika ktk hio sekta ili mwisho wa siku tuwekeze sisi binafsi, ikiwa mwekezaji hakubaliani na hilo baasi atafute ustaarabu mwingine, ikiwa atakubalika bila hilo tutaibiwa tuu na tutaendelea kua watumwa wa wanaovuna vyakwetu.
 
yaan kweli kama unafurahia uwekezaji WA.Rwanda. Tanzania kweli wewe punguani
 
Wawekeze sana,waanze na viwanda vya tooth sticks kabla ya madini,manina
 
Kwa nini tusiwekeze wenyewe. Hivi Rwanda wanattuzidi fedha.
 
hili sidhani kama liko sawa kwa huyu jamaa bora wazungu waje wachukue bila kodi kuliko huyu jamaa.
kwa hili nipo tayari kuandamana
 
hakika mungu hamfichi mnafiki
 
hakika mungu hamfichi mnafiki
 
Rwanda wanakitu gani cha kutuzidi hadi waje kuwekeza kwetu hasa kwenye sekta ya madini..hivi hawa teknologia si kama sie tu.....tulilogwa waTz..
 
Wana uzoefu wa kutosha ktk sekta hiyo ambao wameupata huko Congo.....
 
Tena awe na mshauri kabisa wa uchumi na aandikiwe mshahara kabisa
Hata akigombea sawa tu
I had enough of this crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…