Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini
Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo
Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha
My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua
Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
Nafikiri suala la madini ni sensitive sana kwa muktadha wa maendeleo na uchumi wetu. Pia wanyarwanda ni marafiki zetu, tumeoa kwao na wao wameoa kwetu. Hata baadhi ya wanajeshi wake wamekulia bongo na wengine wamepata mafunzo hapa hvy sio wa kuogopa kiivyo.
Pia uchumi wa Rwanda unakua sana na hata hela yao ni kubwa kuzidi yetu.
Sidhani kama wao kuwekeza ndo iwe ishu sana ya watu kuitolea macho. Ni bora mara kumi mtu mweusi mwenzako akuibie kuliko mzungu maana tumewaona kama mungu hapa duniani.
Kwanza mpaka sasa sijasikia kama waziri karuhusu utokewaji wa leseni na hvyo kuna watanzania wengi wanahitaji kuuza bidhaa hyo, huenda ni fursa nzuri.
Pia uwezo wa kuwa monitor kila kitu tunawez na hata kushika Mali zao maana wapo karibu, kuliko wazungu ambao hawataki kutoa ushirikiano wa madini yaliyosafirishwa kienyeji (blood diamond) na sehemu nyingine wamesababisha nchi kuingia vitani.
What I believe ni kuwa kwa sasa nchi imeamua kuwa madini yetu yauzwe hapa hapa, wazo jema sana, pili mwenye uwezo wa kujenga mambo wa kuchenjua madini, nasikia wachina wapo mbioni kujenga na hvyo kwa kuwa sheria yetu imeshatungwa na somehow imeziba mianya mbali mbali, maybe tusubir tuone na si kila kitu tunapinga, tusijeambiwa kuwa binadamu huzaliwa, hukua, huoa, huzeeka na hufa bado tunakata tu. Sijui kwa nini tunakuwa tumeshakata tamaa za maisha basi kila kitu kwetu ni kichefuchefu tu. Please