Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Una maana gan?Mungu apumzishe roho yake kwa amani. Jamaa huyu nasikie alishauriwa kurudi rwanda na familia ya kagame kutoka hukouhamishoni alikokuwa akifanyia shughuli zake; ni afadhali angebaki hukohuko.
Kama hayo yangetokea Tanzania leo hii tena chini ya ulinzi wa polisi, basi siyo World Bank tu ingetumiwa barua bali hata serikali za Urusi, China, Iceland, Nepal, Vietnam, na Fiji pia wangepatiwa taarifa hizo kuhusu kukosekana kwa demokrasi Tanzania.
Kwamba wanaopiga kelele kuhusu haki za binadamu hapa Tz hawapaswi kufanya hivyo maana hata Rwanda hizo haki hazipo?