Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

We all die. The goal isn’t to live forever, the goal is to create something that will.
 
Kuna wakati alikuwa Belgium hyo kizito
Mke wa kagame alimshinikiza sana arudi rwanda
Na akarudi

Ova
Kabisa kabisa,na hio ndio style yake ya ku survive nadhani kwa nature ya kazi yake(ujasusi) atakua alishajifunza mbinu hio,hata Museveni alishasema hilo la Pk kutokua na marafiki wa kudumu/kukugeuka ni fasta tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Jamaa alikua ni kipenzi cha PK balaa sherehe zote za kitaifa yeye ndio anaimba nyimbo za dini/taifa,PK akienda nje ya nchi kwenye(Rwanda day)anaenda nae mpk alipelekwa na PK kusoma huko Europe kozi za music alivyokuja kuanza kum challenge Mtu mwembambaaa ndipo akaanza kusomeshwa number.
Pk Hna urafiki wa kudumu
Au Mr slim alihisi jamaa a nampigia Nani wakee
Maana Nani wa pk alimkubali sana msanii

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pk Hna urafiki wa kudumu
Au Mr slim alihisi jamaa a nampigia Nani wakee
Maana Nani wa pk alimkubali sana msanii

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahah Wanasema kizito alikua na mawasiliano na makundi ya waasi(Rnc) na police walitoa ushahidi mahakamani wa chatting/voice call za whatsaap akiwasiliana na hao jamaa.

Cha ajabu kule mahakamani kizito alipofikishwa alikiri kila kitu(kwamba ni kweli anajuana na hao waasi) yaani hakupinga hata kiduchu na alipokua anashauriwa na wakili wake kukana hayo mashtaka akagoma na akamfukuza kazi na akaleta lawyer mwingine,hapo ndipo akahukumiwa 10 yrs.
 
Kuna ujumbe umetumwa mahala, kwamba mkiendeleza chokochoko tutawamaliza wote kwa staili ambazo hamuwezi kuzifikiria.

Kama suala lingekuwa kuondoa tu uhai wa huyu ndugu timing ya tukio isingekuwa hii na asingeondolewa kwa staili hii angeondolewa kwa njia zinazoweza kuwa covered kwa urahisi, hapo wanajua kabisa watu wataelewa kuwa ameuwawa huko huko polisi na ndio nia na ujumbe waliotaka uwafikie mahasimu wao. Wauaji wamejawa jeuri ya madaraka, wangekuwa na uoga walau kidogo wangefikiria mara mbili mbili juu ya mahabusu kujiua police cell. Hawaogopi kudhaniwa na wanachi....... Kibri!
 
Na ni ujumbe kwa wapinzani wa PK walioko Burundi,Uganda,SA na kwingineko.

Kuna yule maza aliachiwa pamoja na hao wakina Kizito kutoka gerezani anaitwa Ingabire nae akae mguu pande mguu sawa,ingawa jamii ya kimataifa itapiga kelele ila itakua ndio basi tena.
 
Mungu apumzishe roho yake kwa amani. Jamaa huyu nasikie alishauriwa kurudi rwanda na familia ya kagame kutoka hukouhamishoni alikokuwa akifanyia shughuli zake; ni afadhali angebaki hukohuko.

Kama hayo yangetokea Tanzania leo hii tena chini ya ulinzi wa polisi, basi siyo World Bank tu ingetumiwa barua bali hata serikali za Urusi, China, Iceland, Nepal, Vietnam, na Fiji pia wangepatiwa taarifa hizo kuhusu kukosekana kwa demokrasi Tanzania.
 
Tz lazima ipigiwe kelele dunia nzima maana hatujuzaoea mambo hayo na ni nchi ya kidemokrasia lkn Rwanda wametoka kwny machafuko so bado wananyooshana ndio maana hata wakubwa hawashangai sana yanayoendelea huko.
 
Kagame atakuwa na mwisho mbaya sana. Wenzie inapotokea jambo kama hili huwa wanapretend kuwawajibisha watu. Lakini kwaye yeye hii kitu haipo
 
Back
Top Bottom