vantz
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 1,107
- 570
Akili fupiAfadhali amejitanguliza, kuliko kukutana na mkono wa PK kwa kukufa polepole na kwenye maumivu makali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili fupiAfadhali amejitanguliza, kuliko kukutana na mkono wa PK kwa kukufa polepole na kwenye maumivu makali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama amejinyonga bali wamemnyonga. Ndivyo watawala wa Afrika walivyo. Sijui PK ana damu za binadamu wangapi!! A satan in human flesh.
Hata marekani, ulaya Kuna watu wanaijua wakiwa gerezani au rumande
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu litakuja kajinyonga tuThe musician was being held in solitary confinement at the Rwanda Investigative Bureau (RIB) Station in Remera in the capital Kigali, where he was found hanging in a cell.
He was found hanging by an officer in the morning on Monday. He used the bedsheets that he was sleeping on to hang himself. Preliminary investigations show that he hanged himself on the window of his cell, but more investigations are being conducted,” Ms Marie Michelle Umuhoza, RIB spokesperson told The EastAfrican.
Roma mkatoliki aligundua mapema akawahi kwa mabeberuHuyu Ana mziki wake mmoja una kwenda kwa title ya "the definition of death" ulimletea shida sana na serikali ya rwnd.....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu litakuja kajinyonga tu
We unapigana na Mr slim alafu uko Ndani ya rwnd.... Uhai wako lazima uwe mashakani
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati nlikuwa Kigali Kuna mzee mmoja namjua na tumeshibana, wkt wa kilaji alikuwa Ana nipa story ya j3 mafia...... Ilikuwa
Maongezi yalikuwa balaaa kna watu hatari
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Ana mziki wake mmoja una kwenda kwa title ya "the definition of death" ulimletea shida sana na serikali ya rwnd.....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari..... Mr slim mwenyewe hana marafiki wa kudumuHahahah nchi inapelekwa kijeshi jeshi/kimafia style.
Na kabla ya hapo alikua rafiki sana wa family ya rais na akialikwa sana tu ikulu na hata misafara ya raisNashukuru kwa tag
Huyu jamaa ni mtutsi na mpigania amani na upatanisho ukiachana na kwamba ni mwanamuziki. Sasa kuna wakati roho ilimuuma kuona Genocide imegeuzwa ya Watutsi pekee na kupuuza vifo vya wahutu.
So jamaa akatunga wimbo kukosoa programme ya "I am Rwandan" iliyotaka wahutu wote hata aliezaliwa leo aombe radhi watutsi hadharani kwa kuwachinja.
Pia alitaka mauaji ya wahutu yakumbukwe kila mwaka ili kuwepo usawa mwisho wa siku akabambikiwa kesi ya uhaini na ugaidi.
The rest is history
Cc mtu chake