Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

Too sad,kajinyonga kweli? Huyu alikuwa against Kagame.Na juzi juzi walimkamata akitoroka kwenda Burundi.
Kweli mtu angekuwa kachoka kuishi angetafuta kukimbilia Burundi? Shame on you Kagame.
 
Nitakuwa wa mwisho KUAMINI kwamba Kizito kajinyonga... Nimeumia kama namfahamu... The cell room he was locked in has a story to tell

Jr[emoji769]
Which story to tell is it your first time kusikia mtu kajinyonga kutumia bedsheets?
 
Mahabusu za Rwanda ni nzuri sana. Mtuhumiwa upewa chumba chake mwenyewe na hivyo ni rahisi kujidhuru bila bugudha!
 
Kilichomfanya aondoke Belgium na kurudi Rwanda ni nini?
Kweli alijiamini kwa lipi mpaka kumchezea mkomanyani sharubu?

Anatoroka wakati yashaharibika...mda wote alikuwa wapi??
Wenzie walikuwa wanamchora tu anavyo paparika!
PIP..Muimbaji!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali amejitanguliza, kuliko kukutana na mkono wa PK kwa kukufa polepole na kwenye maumivu makali

Sent using Jamii Forums mobile app

Dogo baada ya kutoka jela alikua analalamika amekosa connection kabisa na raia,studio zote akienda wanamgomea kurecord nyimbo zake,akienda kwenye medias hapewi interview tena,passport yake alinyanganywa mwishowe akaona atorokee Burundi kwa njia ya panya akijua akifika huko atapata chance ya kwenda Uganda ambao kwa sasa ni adui wa Rwanda then atasepa zake kwenda nje ambako huko ataendeleza harakati zake.,inshort alikua anapewa psychological torture ya hatari.

Naona baada ya kudakwa huko boda akaona anarudishwa tens mkononi kwa wababe wake akaona ajimalize fasta fasta.
 
Jamaa anasemaga ‘Hauwezi kusaliti nchi yako na ukabaki salama’.
Mkuu kwa yule Tall tree...ukienda tofauti na yeye..hata kama uko sahihi ni sawa na kutia saini hati yako ya kifo...
Mijitu isiyopenda kukosolewa huwa pia ina kinyongo na ukakasi wa nafsi!

Wewe uwe una support kila chake..na kumsifia.. hata kama kibaya!





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom