Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

Hivi serikali ya Rwanda ni tukufu kwako?
vijana tafuteni hela, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali tukufu, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali

In God we Trust
 
Replica of the neighbor brotherhood [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Very true kaka. The spirit of this person will never rest until justice is done. Walimbambikia kesi ya kwanza, lakini nafsi zao ziliwasuta kwakuwa yeye alijaribu kuwasemea Wahutu ambao sasa hivi wamekuwa victimised na mkono wa chuma wa PK. Wasipoangalia kifo cha Kizito kinaweza kuwa chanzo cha new dawn of Rwandan politics

Jr[emoji769]
 
Dah jamaa alikuwa safi sana upstairs, alikuwa na sauti matata.

Alikuwa survivor wa genocide.

Alipoomba kurudi Rwanda toka Belgium, walimkatalia.

Alipofika Rwanda kwa umahiri wa kuimba kwake watu walimpokea.

Alimpenda msijana wa Kihutu kitendo ambacho kilifanya Watusi wenzie wamshangea.

Popularity yake ilikuwa kubwa kwa muda mfupi sana, kuna uwezekano PK alipatwa na hofu maana hataki mtu kuwa maarufu zaidi yake!

African leaders jaman, ni lini wata staarabika kuhusu haki za wanyonge!!!

Sababu wanazozitoa hazileti mashiko ya kuthibitisha mtu kujiua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vijana tafuteni hela, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali tukufu, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
Huyu jamaa hakuwa mwana siasa, kama alikuwa mwana siasa alikuwa wa chama kipi, na yeye alikuwa kama mwana chama au kiongozi wa chama!

Mamlaka zinaonea na kupoteza maisha ya watu kwa kisingizio cha chama, kwani ninharamu kuwa mwana chama? Mbona wao wako na vyama vyao?

Hii dunia tumeiharibu na sio tena a better place to be sababu ya viongozi wachumia tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P Kizito! Ni vigumu kuamini mtu ambaye yupo mikononi mwa polisi kajiua.

Ila hii ndiyo Africa! Mungu atawahukumu watesi wako.
Watawala wa kiafrica ni marufuku yeyeto kuwa maarufu kuwazidi,kumbuka alikuwa ni mkosoaji wa fidodido malaika mnyofoaji ticha na masterminder role model wa mtukufu malaika mkuu asiyekosolewa anaeabudiwa na wana buk7
 
PUMZIKA KWA AMANI. Dunia na vyote vilivyomo ni mali ya Mungu. Kila nafsi itaonja mauti.
 
Sidhani kama amejinyonga bali wamemnyonga. Ndivyo watawala wa Afrika walivyo. Sijui PK aba damu za binadamu wangapi!!
Huyo jamaa ni nyonya damu halafu hashibi kila kukicha anakonda tu sababu ya damu za watu wasio na hatia!

Ningekuwa na drone ningemjaribu kama ningeweza kama Trump kwa Suleiman.

Hafu wenye roho mbaya wanakaa muda mrefu and vice versa is true

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana...Eti opinion ya mtu inaua.
 
Nitakuwa wa mwisho KUAMINI kwamba Kizito kajinyonga... Nimeumia kama namfahamu... The cell room he was locked in has a story to tell

Jr[emoji769]
Umemaliza mkuu .
Umeona like yangu huko?
 
NAAMINI TUKIFIKA MBINGUNI TUTAJIBU UKWELI HALISI
MSANII WA INJILI KIZITO AMEJINYONGA AKIWA.MAHABUSU RWANDA

INASEMEKANA WALIMKAMATA AKIWA ANAKIMBIA MPAKANI MWA Rwanda na Burundi

na ALIKUWA ANAENDA kujiunga na kundi LA waasi aisee

huko nyumaa aliwahi hukumiwa.miaka.KUMI kwa kutishia kumuua RAISI akatoka.kwa msamaaha WA RAISI

Rip KIZITO
MBELEYAKO NYUMA.YAO
 

Attachments

  • Screenshot_20200217-163010.png
    Screenshot_20200217-163010.png
    106.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200217-163025.png
    Screenshot_20200217-163025.png
    67 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200217-163053.png
    Screenshot_20200217-163053.png
    67.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom