Na huo ndio ukweliKagame mwisho wake utakuwa mbaya sana!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huo ndio ukweliKagame mwisho wake utakuwa mbaya sana!!!
vijana tafuteni hela, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali tukufu, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
Very true kaka. The spirit of this person will never rest until justice is done. Walimbambikia kesi ya kwanza, lakini nafsi zao ziliwasuta kwakuwa yeye alijaribu kuwasemea Wahutu ambao sasa hivi wamekuwa victimised na mkono wa chuma wa PK. Wasipoangalia kifo cha Kizito kinaweza kuwa chanzo cha new dawn of Rwandan politics
Hivi unawezajinyonga kituoni kweliAfadhali amejitanguliza, kuliko kukutana na mkono wa PK kwa kukufa polepole na kwenye maumivu makali
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa hakuwa mwana siasa, kama alikuwa mwana siasa alikuwa wa chama kipi, na yeye alikuwa kama mwana chama au kiongozi wa chama!vijana tafuteni hela, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali tukufu, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
Watawala wa kiafrica ni marufuku yeyeto kuwa maarufu kuwazidi,kumbuka alikuwa ni mkosoaji wa fidodido malaika mnyofoaji ticha na masterminder role model wa mtukufu malaika mkuu asiyekosolewa anaeabudiwa na wana buk7R.I.P Kizito! Ni vigumu kuamini mtu ambaye yupo mikononi mwa polisi kajiua.
Ila hii ndiyo Africa! Mungu atawahukumu watesi wako.
Huyo jamaa ni nyonya damu halafu hashibi kila kukicha anakonda tu sababu ya damu za watu wasio na hatia!Sidhani kama amejinyonga bali wamemnyonga. Ndivyo watawala wa Afrika walivyo. Sijui PK aba damu za binadamu wangapi!!
Nitakuwa wa mwisho KUAMINI kwamba Kizito kajinyonga... Nimeumia kama namfahamu... The cell room he was locked in has a story to tell
Jr[emoji769]
Ndiko tulioiga kila kitu.Amewezaje kujinyonga akiwa kizuizini? Wamefanya yao. Mungu mwenye haki atahukumu kwa haki kila mtu kwa matendo yake beth
Ni ngumu kujinyonga polisi
Nitakuwa wa mwisho KUAMINI kwamba Kizito kajinyonga... Nimeumia kama namfahamu... The cell room he was locked in has a story to tell
Jr[emoji769]
Umemaliza mkuu .Nitakuwa wa mwisho KUAMINI kwamba Kizito kajinyonga... Nimeumia kama namfahamu... The cell room he was locked in has a story to tell
Jr[emoji769]