Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

Acha tuwaite wataalamu wa hizi mambo za maziwa makuu zitto junior Mobutu
Nashukuru kwa tag
Huyu jamaa ni mtutsi na mpigania amani na upatanisho ukiachana na kwamba ni mwanamuziki. Sasa kuna wakati roho ilimuuma kuona Genocide imegeuzwa ya Watutsi pekee na kupuuza vifo vya wahutu.

So jamaa akatunga wimbo kukosoa programme ya "I am Rwandan" iliyotaka wahutu wote hata aliezaliwa leo aombe radhi watutsi hadharani kwa kuwachinja.

Pia alitaka mauaji ya wahutu yakumbukwe kila mwaka ili kuwepo usawa mwisho wa siku akabambikiwa kesi ya uhaini na ugaidi.

The rest is history

Cc mtu chake
 
Eti leo ukamatwe border unaenda kujiunga na waasi then baada ya siku 3 ujinyonge ukiwa mahabusu..

Hata mdogo wangu wa class 3 anaweza kuunga hizi dot
 
Mmh Hiyo ni hatari kwamba nuimbaji wa injili kajinyonga
Jambo lakusikitisha sana ila tunabidi tukae tujiulize kweli alikuwa muimbaji wa nyimbo za injili au alikuwa hawa wasanij wa injili
Injili ni uwezo wa MUNGU kumuokoa mwanadamu sasa nashaangaa tena injili imekuwa vice versa ....

Tusiwe wasanii wa nyimbo za injili Bali tuwe waimbaji wa nyimbo za injili kweli
 
Hivi mtu anajinyonga gerezani na inaletwa kuwa habari HOW?.

Papo kwa hapo fikilia mpaka anakata roho juu ya kamba wafungwa au mahabusu wengine hawakuwepo au alienda kujinyongea chooni?.

Lakini kuna issue ya kisiasa ya kiafidhina hapo Rwanda, bwana yule tunamfaham ni wa aina gani.

SING:

πkwanini umeyaruhusu...
By, ambassador of Christ choir.
 
nawazaa mahabusu unatoa kila.silahaa he huyu.kajinyonga na nn doh
Safari ndefu
 
JTANO
KONGAMANO.LA.WANAWAKE WENYE.MIMBA NA WALE WANAOTAFUTA WATOTO TANGANYIKA PACKERS NJOO NA MWENZIO
MADK WATAKUWEPO
WANA JF ONGEZA MTOTO AGIZA MTOTO
 
Back
Top Bottom