Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

Boniphace Kichonge, Huyo kanyongwa hiyo ni danganya toto tu,
Huyo kauliwa na kikosi maalum waache kuwafanya wananchi wajinga

sent from toyota Allex
 
HIVI MTU ANAJINYONGA VIPI AKIWA KITUO CHA POLISI? MAANA VITU VYOTE HATARISHI HUWA VINAACHWA PALE KAUNTI YA WALA RUSHWA??!!
Nasubir wataalam wajibu mana katika hali halisi haiingiii akilini mtu kujinyonga kituo cha polisi
 
Very sad. Daaah, hii habari imeninyong'onyeza sana. This young and innocent man's blood will one day be reclaimed
 
Serikali ya Rwanda inatuhumiwa kumuua kwa kunyonga kijana mdogo mwenye umri wa miaka 38 ambae alikua ni mnaharakati na mwanamziki anaejulikana kwa jina la Kizito.

Mwanamziki huyo ambae Alikua alikua mkosoaji wa serikali ya KAGAME ameuwawa juzi akiwa kizuizini nchini Rwanda.

Mwanamziki huyo kwa Mara ya mwisho Alionekana karibu na mpaka wa Burundi akijaribu akijaribu kutoroka nchi hiyo baada ya kuona maisha yake yapo hatarini lkn bahati mbaya alikamatwa na maafisa usalama wa Rwanda na kuwekwa kizuizini.

Taarifa iliyotolewa na askali wa kituo hicho wamesema mwanamziki huyo eti amejinyonga.
hii sio Mara ya kwanza kwa kizito kukamatwa kwani Alisha kamatwa na kuhukumiwa miaka 10 kwa kosa LA kubambikiza kuwa anashirikiana na genge LA uhalifu lkn alipata msamaha wa KAGAME na kuachiwa huruhusu.

Wadadisi wa mambo wanasema kuachiwa kwake haikua kwa bahati mbaya lkn ilikua janja ya KAGAME kummaliza bila kutia Shaka.

WANAHARAKATI WA TANZANIA KAENI CHONJO KWANI NDEGE WA AINA MOJA HURUKA PAMOJA
 
His soul will never resten in peace until justice is done... It will automatically turn into ghost that will haunt the killers wherever they go

Jr[emoji769]
Very true kaka. The spirit of this person will never rest until justice is done. Walimbambikia kesi ya kwanza, lakini nafsi zao ziliwasuta kwakuwa yeye alijaribu kuwasemea Wahutu ambao sasa hivi wamekuwa victimised na mkono wa chuma wa PK. Wasipoangalia kifo cha Kizito kinaweza kuwa chanzo cha new dawn of Rwandan politics
 
mkuu wapi wamesema Kagame kumnyonga? kwa mjibu wa duru za habari zinadai Mwanamziki huyo amejinyonga akiwa kizuizini mikononi mwa polisi.
 
mkuu wapi wamesema Kagame kumnyonga? kwa mjibu wa duru za habari zinadai Mwanamziki huyo amejinyonga akiwa kizuizini mikononi mwa polisi.
kwa akili yako ya utu Uzima unaweza kukubaliana na utetezi dhaifu Kama huo?
Akili ya kuambiwa changanya na za kwako
 
vijana tafuteni hela, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali tukufu, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
 
Back
Top Bottom