Kwakweliviva rwanda huku kwetu bado wanapasua matofali na kupindisha nondo
Huku bongo tuna madalali wa rasilimali na sio maraisNi ajabu mbongo ni mfuasi kindakindaki wa bwana Kagame, Putin, na Hameney lakini huku Bongo anampinga maza
Mbona mlitumia AK-47 siku ile tarehee 29Tanzania tuna kiwanda cha silaha za kivita tangu enzi za JK, ni zaidi ya miaka 10 sasa.
Sema wapuuzi kama nyie hamuwezi kujua. Tanzania tuko vizuri kwenye ulinzi na usalama zaidi ya unavyofikiri
Tuliweza kupiga mabomu siku 4 non stop na hayajaisha .
Mbona mlitumia AK-47 siku ile tarehee 29
Mnatumia nguvu sana kutetea hiyo nyumbu hipo wapi kimataifaKama ujui kitu uulize, Tanzania inashirika lake la Nyumbu Ina zalisha magari, ina kiwanda cha Mzinga kwaajili ya ammunition vingine sisemi ila kwa ivyo vilivyo wazi vipo kabla ya GNZ hawajazaliwa.
Tena sio kama ivyo vya Rwanda vya wawekezaji Toka nje ambavyo ata sisi tungetaka tungekua navyo.
Viwanda vyetu vinaendeshwa na wazawa wenye ujuzi wa kutosha.
HAtuna Muda mrefu tutakua na Aircraft carrier yakwetu ya kisasa.
Ni swala la muda tu.
weka sura yako ili wakupakateUna wazimu wewe
Nadhani maana ya silaha za kivita hujui.
Kama SR tu ina sifa ya kuitwa silaha ya kivita je, AK47?
na hiyo AK 47 ina series kadhaa.
Kuna silaha huruhusiwi kuzitumia mahali fulani kwa mujibu wa sheria za silaha duniani.
Tanzania tuko vizuri sana zaidi ya unavyodhani.
Silaha nyingi tunafyatua hapahapa. Mtafute afisa wa jeshi mdadisi . Hapa maaskari wengi hawajui jambo hili
Ni shirika lenye uwezo na Likiongezewa budget linauwezo wa kufanya vizuri ata kimataifa.Mnatumia nguvu sana kutetea hiyo nyumbu hipo wapi kimataifa
Nyumbu ipo tangu 1985 na imesomesha wataalam wengi nje ya nchi hasa Ulaya, Canada na US lakini kila wakati wanazalisha magari ya zimamoto na deraya (APC) kwa ajili ya maonesho tuNi shirika lenye uwezo na Likiongezewa budget linauwezo wa kufanya vizuri ata kimataifa.
Kikubwa wapo wataalamu ambao wamesoma sawa na wataalamu wanao hudumu kwenye makampuni makubwa ya viwanda vya silaha na mashine za kisasa.
Inauma kwa kweli, wababe wakuvunja matofali hizi ndiyo project ilibidi wafanye...Huku kwetu JWTZ sanaa group ya CCM