Rwanda ndio nchi mojawapo Aafrika kwa sasa inatengeza silaha na vifaa vya ulinzi bila kutegemea mataifa mengine kuangiza

Rwanda ndio nchi mojawapo Aafrika kwa sasa inatengeza silaha na vifaa vya ulinzi bila kutegemea mataifa mengine kuangiza

Nyumbu ipo tangu 1985 na imesomesha wataalam wengi nje ya nchi hasa Ulaya, Canada na US lakini kila wakati wanazalisha magari ya zimamoto na deraya (APC) kwa ajili ya maonesho tu
Imekuwa kaam Research Centre na pesa nyingi za serikali imeingizwa hapo ila hakuna maendeleo yoyte
Haijawahi kuweka kitu/product ambacho kikaonekana kikafanya kazi popote nchin hata kwenye Jeshi ndani kwenyewe haijawahi kutumia
Mwaka huu wameingia mkataba na kampuni ya UAE labda ndiyo wanawea wakatoka hapo walipo
Huo mkataba ni wa kupiga pesa tu na sio kingine
 
Ni ajabu mbongo ni mfuasi kindakindaki wa bwana Kagame, Putin, na Hameney lakini huku Bongo anampinga maza
Hao wote wanafanya Uharamia Kwa nchi pinzani na sio Kwa Raia wa ndani ya Taifa lao , Hawaui wananchi wao Na licha ya hivyo Wana saidia sana mataifa Yao na kuyafanya yaweze kuwa na strong economy ukienda Kwa nchi kama Iran wako vizuri sana wanaunda Kila kitu wao wenyewe unawezaje kuwa chukulia poa
 
kagame ni mtu mwenye akili nyingi sana, na yupo serious na nchi yake
 
Tanzania tuna kiwanda cha silaha za kivita tangu enzi za JK, ni zaidi ya miaka 10 sasa.
Sema wapuuzi kama nyie hamuwezi kujua. Tanzania tuko vizuri kwenye ulinzi na usalama zaidi ya unavyofikiri
Tuliweza kupiga mabomu siku 4 non stop na hayajaisha .

Yaliisha bwana ndo maana mkaaza kutumia live bullets
 
Hao wote wanafanya Uharamia Kwa nchi pinzani na sio Kwa Raia wa ndani ya Taifa lao , Hawaui wananchi wao Na licha ya hivyo Wana saidia sana mataifa Yao na kuyafanya yaweze kuwa na strong economy ukienda Kwa nchi kama Iran wako vizuri sana wanaunda Kila kitu wao wenyewe unawezaje kuwa chukulia poa
Kwa Kagame hakuna haki za binadamu boss fuatilia.
Kwa Putin hakuna haki za binadamu boss.
Kwa Khaminei hakuna haki hizo boss. Kwahiyo wewe kama ni mpinzani wa huu mfumo inabidi pia uwe against mifumo ya akina Putin.
 
Rwanda ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeanza uzalishaji wa silaha za ndani, ikiwemo magari ya kijeshi, silaha, munisyoni, na drones. Hii ni hatua kubwa katika kuimarisha sekta ya ulinzi ya nchi hiyo na inaweza kuwa mfano kwa mataifa mengine ya Afrika katika kupunguza utegemezi wa silaha kutoka kwa mataifa ya Magharibi.

View attachment 3512105View attachment 3512106View attachment 3512107View attachment 3512108

Huku kwetu JWTZ sanaa group ya CCM
Tumekwishaaa
 
Kwa Kagame hakuna haki za binadamu boss fuatilia.
Kwa Putin hakuna haki za binadamu boss.
Kwa Khaminei hakuna haki hizo boss. Kwahiyo wewe kama ni mpinzani wa huu mfumo inabidi pia uwe against mifumo ya akina Putin.

Like wise ilikua kwa Gaddafi.l, pia hata utawala wa JPM ni hatua zile zile.

Siku zote watu hua wanadai/Tafuta walichokosa bila kuangalia walichopata
 
Back
Top Bottom