Rwanda ndio nchi mojawapo Aafrika kwa sasa inatengeza silaha na vifaa vya ulinzi bila kutegemea mataifa mengine kuangiza

Huo mkataba ni wa kupiga pesa tu na sio kingine
 
Ni ajabu mbongo ni mfuasi kindakindaki wa bwana Kagame, Putin, na Hameney lakini huku Bongo anampinga maza
Hao wote wanafanya Uharamia Kwa nchi pinzani na sio Kwa Raia wa ndani ya Taifa lao , Hawaui wananchi wao Na licha ya hivyo Wana saidia sana mataifa Yao na kuyafanya yaweze kuwa na strong economy ukienda Kwa nchi kama Iran wako vizuri sana wanaunda Kila kitu wao wenyewe unawezaje kuwa chukulia poa
 
kagame ni mtu mwenye akili nyingi sana, na yupo serious na nchi yake
 

Yaliisha bwana ndo maana mkaaza kutumia live bullets
 
Kwa Kagame hakuna haki za binadamu boss fuatilia.
Kwa Putin hakuna haki za binadamu boss.
Kwa Khaminei hakuna haki hizo boss. Kwahiyo wewe kama ni mpinzani wa huu mfumo inabidi pia uwe against mifumo ya akina Putin.
 
Tumekwishaaa
 
Kwa Kagame hakuna haki za binadamu boss fuatilia.
Kwa Putin hakuna haki za binadamu boss.
Kwa Khaminei hakuna haki hizo boss. Kwahiyo wewe kama ni mpinzani wa huu mfumo inabidi pia uwe against mifumo ya akina Putin.

Like wise ilikua kwa Gaddafi.l, pia hata utawala wa JPM ni hatua zile zile.

Siku zote watu hua wanadai/Tafuta walichokosa bila kuangalia walichopata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…