Tetesi: Rwanda nyuma ya kufukuzwa Shyrose!

Hivi nyinyi CCM mna akili gani yaani hapo hamuoni mantic kweli Hebu someni tena anachoeleza mwandishi ni kwamba Tunapokea maelekezo toka Rwanda hilo halikuumi???? Kinacho kuuma wewe ni Ubunge wake tu! Shame on you CCM
 
Umemjibu vizuri sana huyu mnyarwanda. Nimemuuliza kuhusu ufisadi wa kununua meli mbovu na kugawa nyumba za serikali kwa vimada kaanza matusi, wakati yote kayamention mwenyewe.
 
Hayo majibu yako yamekaa kikada zaidi ya uhalisia.Kuna wamarekani,wachina,watu wa ulaya wamejaa Tanzania.Ina maana uchumi wa Tanzania au hali ya siasa ya Tanzania ni bora kuliko ya hizo nchi?
 
Hayo majibu yako yamekaa kikada zaidi ya uhalisia.Kuna wamarekani,wachina,watu wa ulaya wamejaa Tanzania.Ina maana uchumi wa Tanzania au hali ya siasa ya Tanzania ni bora kuliko ya hizo nchi?
wewe ndio unaleta ukada uchwara, hao wachina, wamarekani na wazungu ni wahamiaji haramu huku Tanzania? Au ni watu na profession zao? Unawafananishaje na wanyarwanda wanaoishi maporini kiharamu?
 
Wanyarwanda ni wengi sana humu Nchini, na Kagera Watusi wanaongea Kisukuma ka nini!
Ila utawajua kwa mila yao na Magufuli yamkini ni pandikizi la muda mrefu.

Najua hakuna kitakacho haribika TUTAWASHUGHULIKIA IPASAVYO.
 


Usiwe mpuuzi kihivyo we mtoto....Kikwete si mtu wa kumlinganisha kwa chochote kwani hajawahi kuwa kiongozi wa nchi yeyote. Yule ni msanii tu. Umeambiwa nchi inabidi isafishwe kwanza, na kusafisha huko ni kuwabana wababaishaji na wezi wa mali ya umma pamoja na wauza sembe.
 
We unadai kulikuwa hakuna serikali miaka 30 halafu unataka nikuache? Nakutuma india ukatibiwe mwezi mzima!


Serikali ilikuwepo ila hatukuwa na rais kwa miaka hiyo 30. Kama kweli tungekuwa na rais hii nchi isingekuwa na watu wajinga na wasio na mwelekeo wowote. Watu walikuwa wanadanganya na viongozi kuwa Tanzania ni nchi masikini na bado walikuwa wanaamini hivyo huku viongozi hao hao wanawacheka na kuwaibia.
 
Sawa endeleeni kusafisha nchi.
 
Nakubali kuwa na wizi wa manunuzi ya meli mbovu na kugawa nyumba za serikali kwa vimada, hilo la kutokuwa na serikali sikubali.
 
Kwani nafasi ilikuwa tu kwa Shy Rose yaani wengine hawastahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…