Tetesi: Rwanda nyuma ya kufukuzwa Shyrose!

Tetesi: Rwanda nyuma ya kufukuzwa Shyrose!

Hivi huyu yeye nani!!?
kwamba hakuna wengine!!
hii mbaya kabisa
kama waliomba zaidi ya 100 kuondolewa yeye tu iwe kelele!!
huo ubunge ni wamaisha!!
Unaichukia Rwanda hasa Serikali ya Kagame
tunajua
lakini usituvuruge kwa kuunganisha chuki zako
na suala hili.
Kama kutetea Maslahi ya Tanzania hawezi kuyatetea pekee
Hivi nyinyi CCM mna akili gani yaani hapo hamuoni mantic kweli Hebu someni tena anachoeleza mwandishi ni kwamba Tunapokea maelekezo toka Rwanda hilo halikuumi???? Kinacho kuuma wewe ni Ubunge wake tu! Shame on you CCM
 
Kama sasa hivi huo wizi haufanyiki,ufisadi haufanyiki,makusanyo yakodi yameongezeka, rushwa hamna mbona maisha yamezidi kuwa magumu kuliko kipindi cha kikwete ambacho mambo haya yote yalikuwa yanafanyika na watu tulikuwa tunapanda ndege kila wiki? Mwambieni huyo babu kipara akamuulize kikwete alikuwa anapata wapi pesa.
Umemjibu vizuri sana huyu mnyarwanda. Nimemuuliza kuhusu ufisadi wa kununua meli mbovu na kugawa nyumba za serikali kwa vimada kaanza matusi, wakati yote kayamention mwenyewe.
 
wahamiaji haramu waliojazana bongo wanatafuta nini? Uchumi wa Rwanda ni hadithi tu. Huko hakuna vyombo vya habari zaidi ya vya serikali, vilivyopo vyote ni vya makada. hakuna uhuru wa habari. Kama unabisha njoo huku ujione maisha ya wananchi halafu linganisha na bongo. Tofauti yake ni usiku na mchana. Acheni kuchotwa akili.
Hayo majibu yako yamekaa kikada zaidi ya uhalisia.Kuna wamarekani,wachina,watu wa ulaya wamejaa Tanzania.Ina maana uchumi wa Tanzania au hali ya siasa ya Tanzania ni bora kuliko ya hizo nchi?
 
Hayo majibu yako yamekaa kikada zaidi ya uhalisia.Kuna wamarekani,wachina,watu wa ulaya wamejaa Tanzania.Ina maana uchumi wa Tanzania au hali ya siasa ya Tanzania ni bora kuliko ya hizo nchi?
wewe ndio unaleta ukada uchwara, hao wachina, wamarekani na wazungu ni wahamiaji haramu huku Tanzania? Au ni watu na profession zao? Unawafananishaje na wanyarwanda wanaoishi maporini kiharamu?
1*qm7FIu2-bTPG329kWKA1cw.jpeg
 
Wanyarwanda ni wengi sana humu Nchini, na Kagera Watusi wanaongea Kisukuma ka nini!
Ila utawajua kwa mila yao na Magufuli yamkini ni pandikizi la muda mrefu.

Najua hakuna kitakacho haribika TUTAWASHUGHULIKIA IPASAVYO.
 
Kama sasa hivi huo wizi haufanyiki,ufisadi haufanyiki,makusanyo yakodi yameongezeka, rushwa hamna mbona maisha yamezidi kuwa magumu kuliko kipindi cha kikwete ambacho mambo haya yote yalikuwa yanafanyika na watu tulikuwa tunapanda ndege kila wiki? Mwambieni huyo babu kipara akamuulize kikwete alikuwa anapata wapi pesa.

Usiwe mpuuzi kihivyo we mtoto....Kikwete si mtu wa kumlinganisha kwa chochote kwani hajawahi kuwa kiongozi wa nchi yeyote. Yule ni msanii tu. Umeambiwa nchi inabidi isafishwe kwanza, na kusafisha huko ni kuwabana wababaishaji na wezi wa mali ya umma pamoja na wauza sembe.
 
We unadai kulikuwa hakuna serikali miaka 30 halafu unataka nikuache? Nakutuma india ukatibiwe mwezi mzima!

Serikali ilikuwepo ila hatukuwa na rais kwa miaka hiyo 30. Kama kweli tungekuwa na rais hii nchi isingekuwa na watu wajinga na wasio na mwelekeo wowote. Watu walikuwa wanadanganya na viongozi kuwa Tanzania ni nchi masikini na bado walikuwa wanaamini hivyo huku viongozi hao hao wanawacheka na kuwaibia.
 
Usiwe mpuuzi kihivyo we mtoto....Kikwete si mtu wa kumlinganisha kwa chochote kwani hajawahi kuwa kiongozi wa nchi yeyote. Yule ni msanii tu. Umeambiwa nchi inabidi isafishwe kwanza, na kusafisha huko ni kuwabana wababaishaji na wezi wa mali ya umma pamoja na wauza sembe.
Sawa endeleeni kusafisha nchi.
 
Serikali ilikuwepo ila hatukuwa na rais kwa miaka hiyo 30. Kama kweli tungekuwa na rais hii nchi isingekuwa na watu wajinga na wasio na mwelekeo wowote. Watu walikuwa wanadanganya na viongozi kuwa Tanzania ni nchi masikini na bado walikuwa wanaamini hivyo huku viongozi hao hao wanawacheka na kuwaibia.
Nakubali kuwa na wizi wa manunuzi ya meli mbovu na kugawa nyumba za serikali kwa vimada, hilo la kutokuwa na serikali sikubali.
 
Kwani nafasi ilikuwa tu kwa Shy Rose yaani wengine hawastahili?
 
Back
Top Bottom