View attachment 2409528
Wataalam wa mambo hii sio act of aggression kweli?, katika wakati mgumu Kama huu unarusha ndege ya kijeshi, sio ya kiraia. Au ndio Congo wameamua kutokuwa wanyonge tena. Pia sidhani Kama Kagame atakubali huu utoto.
Bila shaka ndio kipenga kimepulizwa hivyo.
#BREAKING: Rwanda says a fighter aircraft from DR Congo violated its airspace on Monday and briefly landed at Rubavu Airport in Western Province.
“No military action was taken by Rwanda in response, and the jet returned to DRC," a statement said.