Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ndio hayo hayo yatambomoa kwa kishindo kizito asiamini macho yakeHayo hayo ma-screpa ya enzi za vita baridi ya Ussr ya kale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hayo hayo yatambomoa kwa kishindo kizito asiamini macho yakeHayo hayo ma-screpa ya enzi za vita baridi ya Ussr ya kale.
Tena ikiwezekana baada ya kuibomoa Tshekedi atawale japo kwa miaka miwili.Sio kupoteana tu ndio utakuwa mwisho wa kuitawala hiyo nchi
HIYO EA YENYEWE IMESHINDWA KUMWAMBIA MOSQUITO AACHE KUPAMIA NCHI YA WENGINE, NA KUGEUZA SHAMBA LA BIBI, POSIBLY MR. MOSQUITO HAKUPENDEZEA NA DRC KUINGIA EA COMMUNITY.Hapa ndio tutaona nguvu na maana au umuhimu wa umoja wa nchi za Afrika mashariki kwa nchi wanachama wake.
pia watamuunga mkono mkongomani kumpigia rais wao bila huruma,unapoanza vita na tajiri jiandae kwa lolote congo ni tajiri akitoa eneo dogo tu anapewa siraha anayoitaka.Vita ikianza hii kuna jambo moja na ni fumbo ambalo Kagame hataamini maishani mwake ni kuwa atasababisha wanyarwanda wenyewe kwa wenyewe kuanza mauwaji ya halaiki, kuna chuki kubwa mno inaendelea na inawaumiza ila hawana pa kusemea
Kwani Drc ya Sasa sio ile ile ya Kabila ?Kagame akae kwa kutulia. Asije akashawishika na baraza lake la ulinzi na usalama kwa intells za kipindi cha Kabira Sr akamchukulia Tsheked kama wale wale...
Ndicho nakiona na mimi, niliwahi kaa maeo kadhaa na wanyarwanda ukweli wanaumizwa na utawala wa huyu PK na wanalia sana mmoja wao aliengea hadi machozi yanamtoka na mpaka sasa yupo Tz yetu anajificha tu kakimbia huko so naimani vita ikianza patanuka na watapata nafasi ya kulipa maumivupia watamuunga mkono mkongomani kumpigia rais wao bila huruma,unapoanza vita na tajiri jiandae kwa lolote congo ni tajiri akitoa eneo dogo tu anapewa siraha anayoitaka.
Ahamasishe vijana laki Tano,awape mafunzo,awapeleke rwanda,usiombe wajeda laki Tano waingie mkoa wa morogoro ni vuruguTshesekedi achukue tahadhari zote kabla ya kwenda vitani
Vita haijalishi udogo wa nchi
Umemdhalilisha bob Marley, kiingereza gani hicho!?
Mambo mengi sana yamebadirika. DRC hii si sawa na ile aliyokua akiingoza Kabila akiwa amezungukwa na panetrators wa Rwanda na Uganda. Tsheked amefanya reformations kubwa kwenye vyombo vyake vya ulinzi na usalamaKwani Drc ya Sasa sio ile ile ya Kabila ?
Wakuchukua tahadhari kubwa zaidi ni Rwanda, nionavyo mimi.Tshesekedi achukue tahadhari zote kabla ya kwenda vitani
Vita haijalishi udogo wa nchi
Tuacheni, msituingize kwenye drama zenu: yaani ndege ya kivita itue wakati Rwanda ikijinasibu kuimarisha ulinzi mipakani?Wataalam wa mambo hii sio act of aggression kweli?, katika wakati mgumu Kama huu unarusha ndege ya kijeshi, sio ya kiraia. Au ndio Congo wameamua kutokuwa wanyonge tena. Pia sidhani Kama Kagame atakubali huu utoto.
Bila shaka ndio kipenga kimepulizwa hivyo.
#BREAKING: Rwanda says a fighter aircraft from DR Congo violated its airspace on Monday and briefly landed at Rubavu Airport in Western Province.
“No military action was taken by Rwanda in response, and the jet returned to DRC," a statement said.
Ndayshimiye ameona aitishe kikao saa name usiku kuokoa jahazi lkn tabu iko palepale.
View attachment 2409528
Wataalam wa mambo hii sio act of aggression kweli?, katika wakati mgumu Kama huu unarusha ndege ya kijeshi, sio ya kiraia. Au ndio Congo wameamua kutokuwa wanyonge tena. Pia sidhani Kama Kagame atakubali huu utoto.
Bila shaka ndio kipenga kimepulizwa hivyo.
#BREAKING: Rwanda says a fighter aircraft from DR Congo violated its airspace on Monday and briefly landed at Rubavu Airport in Western Province.
“No military action was taken by Rwanda in response, and the jet returned to DRC," a statement said.
Ndayshimiye ameona aitishe kikao saa name usiku kuokoa jahazi lkn tabu iko palepale.
View attachment 2409865View attachment 2409866View attachment 2409867View attachment 2409868View attachment 2409869View attachment 2409870
Imetua na kupaa mkuuTuacheni, msituingize kwenye drama zenu: yaani ndege ya kivita itue wakati Rwanda ikijinasibu kuimarisha ulinzi mipakani?
Ukimuon mkenya yupo pale kua mwingereza yupo nyuma yakeHiyo vita Itakuwa ni proxy war..muendelezo wa uhasama kati ya Urusi na nchi zawest..kinachoendelea ma bwana wakubwa wanasupport vita kwenye nchi nyingine zilizo na mlengo wao...utashangaa Rwanda anapewa msaada na Marekani na Uingereza na Israel, huku Kongo akipewav misaada na Urusi, china, Iran n.k so unaweza iona Rwanda ni mdogo but vita haitakuwa ndogo kama ilivyotokea vita kati ya Ethiopia na Tigray.
Ngumu kumezaImetua na kupaa mkuu