Rwanda Wailaani DR Congo kwa ndege yao ya kivita kutua Rwanda

Rwanda Wailaani DR Congo kwa ndege yao ya kivita kutua Rwanda

Ngumu kumeza
Mosi-- isingeruhusiwa kutua;
Pili---- anga la mpakani mwa DRC na Rwanda si salama;
Tatu---isingeruhusiwa kuondoka;

La: dereva wa ndege hiyo ni wakara wa PAKA
Ndege Haina dereva wa maku ni rubani...wakara ndiyo nini!?
 
View attachment 2410012
Sukhoi Su-25 in flight.
Hii ni escallation.
Rwanda wajue kuwa wamelianzisha na wanaweza kulinywa.
Vita si lelemama, ikianza vita madalali wa vifaa vya kijeshi duniani wako wengi sana.
Vianze bana dah au Rwanda itoe taka zake zote DRC na ujenzi wa ukuta uanze mara moja "THE GREAT WALL OF EASTERN CONGO"
 
Anahatarisha maisha ya wananchi wake.
Hapendwi sana pande hii!
Alafu hayo anayafanya sio kwa maslahi ya watu wa rwanda ni kwa maslahi ya biashara zake mwenyewe! Hayo anayo enda kuyatafuta kongo yana maslahi na wananchi wake!!? Alikua kaanza kumuingia mwendazake akamshtukia akamtolea mbavuni huyu yupo kama kirusi au kupe
 
Hiyo vita Itakuwa ni proxy war..muendelezo wa uhasama kati ya Urusi na nchi zawest..kinachoendelea ma bwana wakubwa wanasupport vita kwenye nchi nyingine zilizo na mlengo wao...utashangaa Rwanda anapewa msaada na Marekani na Uingereza na Israel, huku Kongo akipewav misaada na Urusi, china, Iran n.k so unaweza iona Rwanda ni mdogo but vita haitakuwa ndogo kama ilivyotokea vita kati ya Ethiopia na Tigray.
Kwamba Marekani hana Interest hapo Congo?

Congo ni wa muhimu kuliko Rwanda, Rwanda haina chochote zaidi ya watu warefu
 
Imetoka ulaya inakuja AFRIKA,mzungu ni kiumbe kibaya kuwahi KUWEPO duniani.chakushangaza ndo wamemuasisi Godfrey.sorry the almighty.
upumbav wenu mzung anakujaj ?hapo
 
Hiyo vita Itakuwa ni proxy war..muendelezo wa uhasama kati ya Urusi na nchi zawest..kinachoendelea ma bwana wakubwa wanasupport vita kwenye nchi nyingine zilizo na mlengo wao...utashangaa Rwanda anapewa msaada na Marekani na Uingereza na Israel, huku Kongo akipewav misaada na Urusi, china, Iran n.k so unaweza iona Rwanda ni mdogo but vita haitakuwa ndogo kama ilivyotokea vita kati ya Ethiopia na Tigray.
Nakubaliana na wewe
 
Ukumbuke kuwa marekani,uingereza,na nchi wanachama wake hawawezi kutoa msaada kwa nchi ambayo haina maslahi mapana kwa mataifa yao mf rwanda leo akiingia vitani na nchi kama kongo obviously hapo nchi za ulaya yaani belgium na ufaransa zitakuja kwa maslahi yao binafsi hasa kwa upande wa congo ambapo ndipo zilipo rasilimali nyingi rwanda anaweza kuwa neutralised na hao hao wazungu kwasababu nchi yake haina maslahi kama madini,mbao,ardhi yenye rutuba maeneo ya uwekeezaji na mengine mengi hivyo pia hata marekani na ulaya wataegemea upande wa maslahi sio kudonate au kushhiriki ilimradi wameingia kama mataifa makubwa. Hii vita itakuwa advantageous kwa wazungu ambao watatumia muda wa kubeba mali kwenda kujiimarisha zaidi wao.
 
Shida ni Rwanda .wanaenda kuiba dhahabu wanahifanya eti wanafuatilia waasi wa kihutu.Kagame aache uhuni
View attachment 2409528
Wataalam wa mambo hii siyo 'act of aggression' kweli? Katika wakati mgumu kama huu unarusha ndege ya kijeshi, sio ya kiraia. Au ndiyo Congo wameamua kutokuwa wanyonge tena? Pia sidhani kama Kagame atakubali huu utoto.

Bila shaka ndiyo kipenga kimepulizwa hivyo.

#BREAKING: Rwanda says a fighter aircraft from DR Congo violated its airspace on Monday and briefly landed at Rubavu Airport in Western Province.

“No military action was taken by Rwanda in response, and the jet returned to DRC," a statement said.

Ndayshimiye ameona aitishe kikao saa nane usiku kuokoa jahazi lakini tabu iko palepale.
View attachment 2409865View attachment 2409866View attachment 2409867View attachment 2409868View attachment 2409869View attachment 2409870
 
Back
Top Bottom