View attachment 2409528
Wataalam wa mambo hii siyo 'act of aggression' kweli? Katika wakati mgumu kama huu unarusha ndege ya kijeshi, sio ya kiraia. Au ndiyo Congo wameamua kutokuwa wanyonge tena? Pia sidhani kama Kagame atakubali huu utoto.
Bila shaka ndiyo kipenga kimepulizwa hivyo.
#BREAKING: Rwanda says a fighter aircraft from DR Congo violated its airspace on Monday and briefly landed at Rubavu Airport in Western Province.
“No military action was taken by Rwanda in response, and the jet returned to DRC," a statement said.
Ndayshimiye ameona aitishe kikao saa nane usiku kuokoa jahazi lakini tabu iko palepale.
View attachment 2409865View attachment 2409866View attachment 2409867View attachment 2409868View attachment 2409869View attachment 2409870