Kagame kadekezwa sana hadi kajaa dharau...japo mafala wapo nyuma yake...hadi kipindi cha JK akatuletea za kuleta tukampuuza akajua tumemuogopa. I stand with TsishekediKagame haamini anachokiona kwa Tshisekedi. Alizoea kina Kabila wanamuogopa wananywea
Kutakucha salama?Tusubiri kipyenga
Weye ni mtoa taarifa lakini uandishi wako huwa ni kama unapiga soga kibarazani na shoga zako.Fuata kanuni za uandishi wa habari na ujikite kuhusu chanzo,nini,nani,wapi,ilikuwaje,ipoje na muendelezo.View attachment 2409528
Wataalam wa mambo hii sio act of aggression kweli?, katika wakati mgumu Kama huu unarusha ndege ya kijeshi, sio ya kiraia. Au ndio Congo wameamua kutokuwa wanyonge tena. Pia sidhani Kama Kagame atakubali huu utoto.
Bila shaka ndio kipenga kimepulizwa hivyo.
#BREAKING: Rwanda says a fighter aircraft from DR Congo violated its airspace on Monday and briefly landed at Rubavu Airport in Western Province.
“No military action was taken by Rwanda in response, and the jet returned to DRC," a statement said.
Hizo Su-25 ni ground attack fighter na common sana kwenye majeshi. Haina uchakavu wowote kama ina maintenance na iko updated, ndio ground attack jet ya Urusi hata sasa hivi vita ya Ukraine. Na Ukraine wenyewe wanazo.Hivi congo nao wanafighter jets? Maajabu!
Labda yale ma migs chakavu ya urus Lumumba aliyoyaacha.
Mzee Shirimaa
Mkuu simu haifungui Picha?Weye ni mtoa taarifa lakini uandishi wako huwa ni kama unapiga soga kibarazani na shoga zako.Fuata kanuni za uandishi wa habari na ujikite kuhusu chanzo,nini,nani,wapi,ilikuwaje,ipoje na muendelezo.
Naunga mkono hojaHapo Rwanda ni swala dogo tu wakongo waanzishe tu harafu wahutu watamalizia maana wanabifu kubwaaa liko moyoni ..wakongo nyie kiwasheni arafu waachieni wahutu mbona kagame atapoteana hapo
Fita ni fita Mura,tusikadharau ka Rwanda,...ila nako kamezidi uchokozi,si wawapumzishage Maleembe wa watuDR Congo wakiwa serious wanauweza wakaukamata Kigali ndani ya masaa 6 tu
Rwanda ni ka nchi kadogo mno ukilinganisha na drc....sie tanzania tu kwa drc bado tunasubiri...so ukiongelea battle rwanda yaweza angamizwa within 25 minutesHapo Rwanda ni swala dogo tu wakongo waanzishe tu harafu wahutu watamalizia maana wanabifu kubwaaa liko moyoni ..wakongo nyie kiwasheni arafu waachieni wahutu mbona kagame atapoteana hapo
Yeyote atakayepigwa au kushinda huo ndio uwezo wake kijeshi na si kwa ajili ya ukubwa ama udogo wa eneo lake.Rwanda ni ka nchi kadogo mno ukilinganisha na drc....sie tanzania tu kwa drc bado tunasubiri...so ukiongelea battle rwanda yaweza angamizwa within 25 minutes
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwamba Russia kashindwa?Vita ya urusi vs ukraine, inatufundisha mengi sana; nasubiri kuona 'mobilized' watakao patikana
Vita sio disco. Muulizeni Putin na tambo zakeDR Congo wakiwa serious wanauweza wakaukamata Kigali ndani ya masaa 6 tu
Sio kupoteana tu ndio utakuwa mwisho wa kuitawala hiyo nchiHapo Rwanda ni swala dogo tu wakongo waanzishe tu harafu wahutu watamalizia maana wanabifu kubwaaa liko moyoni ..wakongo nyie kiwasheni arafu waachieni wahutu mbona kagame atapoteana hapo