Rwanda Wailaani DR Congo kwa ndege yao ya kivita kutua Rwanda

Hapa ndio tutaona nguvu na maana au umuhimu wa umoja wa nchi za Afrika mashariki kwa nchi wanachama wake.
HIYO EA YENYEWE IMESHINDWA KUMWAMBIA MOSQUITO AACHE KUPAMIA NCHI YA WENGINE, NA KUGEUZA SHAMBA LA BIBI, POSIBLY MR. MOSQUITO HAKUPENDEZEA NA DRC KUINGIA EA COMMUNITY.
 
Vita ikianza hii kuna jambo moja na ni fumbo ambalo Kagame hataamini maishani mwake ni kuwa atasababisha wanyarwanda wenyewe kwa wenyewe kuanza mauwaji ya halaiki, kuna chuki kubwa mno inaendelea na inawaumiza ila hawana pa kusemea
 
Kagame akae kwa kutulia. Asije akashawishika na baraza lake la ulinzi na usalama kwa intells za kipindi cha Kabira Sr akamchukulia Tsheked kama wale wale...
 
pia watamuunga mkono mkongomani kumpigia rais wao bila huruma,unapoanza vita na tajiri jiandae kwa lolote congo ni tajiri akitoa eneo dogo tu anapewa siraha anayoitaka.
 
Kagame akae kwa kutulia. Asije akashawishika na baraza lake la ulinzi na usalama kwa intells za kipindi cha Kabira Sr akamchukulia Tsheked kama wale wale...
Kwani Drc ya Sasa sio ile ile ya Kabila ?
 
pia watamuunga mkono mkongomani kumpigia rais wao bila huruma,unapoanza vita na tajiri jiandae kwa lolote congo ni tajiri akitoa eneo dogo tu anapewa siraha anayoitaka.
Ndicho nakiona na mimi, niliwahi kaa maeo kadhaa na wanyarwanda ukweli wanaumizwa na utawala wa huyu PK na wanalia sana mmoja wao aliengea hadi machozi yanamtoka na mpaka sasa yupo Tz yetu anajificha tu kakimbia huko so naimani vita ikianza patanuka na watapata nafasi ya kulipa maumivu
 
Tshesekedi achukue tahadhari zote kabla ya kwenda vitani
Vita haijalishi udogo wa nchi
 
Kwani Drc ya Sasa sio ile ile ya Kabila ?
Mambo mengi sana yamebadirika. DRC hii si sawa na ile aliyokua akiingoza Kabila akiwa amezungukwa na panetrators wa Rwanda na Uganda. Tsheked amefanya reformations kubwa kwenye vyombo vyake vya ulinzi na usalama
 
Kwenye hii chokochoko yote inayoendelea ukweli halisi wa sababu ni ukabila kati ya wahutu na watutsi! Aisee vita ikitokea itakuwa na madhara makubwa mno kwa Rwanda!!
 
Tuacheni, msituingize kwenye drama zenu: yaani ndege ya kivita itue wakati Rwanda ikijinasibu kuimarisha ulinzi mipakani?
 
Sukhoi Su-25 in flight.
Hii ni escallation.
Rwanda wajue kuwa wamelianzisha na wanaweza kulinywa.
Vita si lelemama, ikianza vita madalali wa vifaa vya kijeshi duniani wako wengi sana.
 
Ukimuon mkenya yupo pale kua mwingereza yupo nyuma yake
 
Imetua na kupaa mkuu
Ngumu kumeza
Mosi-- isingeruhusiwa kutua;
Pili---- anga la mpakani mwa DRC na Rwanda si salama;
Tatu---isingeruhusiwa kuondoka;

La: dereva wa ndege hiyo ni wakara wa PAKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…