inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ndege Haina dereva wa maku ni rubani...wakara ndiyo nini!?Ngumu kumeza
Mosi-- isingeruhusiwa kutua;
Pili---- anga la mpakani mwa DRC na Rwanda si salama;
Tatu---isingeruhusiwa kuondoka;
La: dereva wa ndege hiyo ni wakara wa PAKA
Hakuna cha tafadhari hapo ni kwenda kuponda na kuondoka fasterTshesekedi achukue tahadhari zote kabla ya kwenda vitani
Vita haijalishi udogo wa nchi
Vianze bana dah au Rwanda itoe taka zake zote DRC na ujenzi wa ukuta uanze mara moja "THE GREAT WALL OF EASTERN CONGO"View attachment 2410012
Sukhoi Su-25 in flight.
Hii ni escallation.
Rwanda wajue kuwa wamelianzisha na wanaweza kulinywa.
Vita si lelemama, ikianza vita madalali wa vifaa vya kijeshi duniani wako wengi sana.
Anahatarisha maisha ya wananchi wake.Kagame mjinga mmoja hivi anae jiona brave sana ila kiuhalisia hana lolote
Alafu hayo anayafanya sio kwa maslahi ya watu wa rwanda ni kwa maslahi ya biashara zake mwenyewe! Hayo anayo enda kuyatafuta kongo yana maslahi na wananchi wake!!? Alikua kaanza kumuingia mwendazake akamshtukia akamtolea mbavuni huyu yupo kama kirusi au kupeAnahatarisha maisha ya wananchi wake.
Hapendwi sana pande hii!
Kwamba Rwanda hawana air defence?Sukhoi 25, jeshi la Congo limedai zikiwa mbili zinaweza kuibadilisha Kigali kuwa majivu ndani ya masaa mawili
Urusi alishindwa fika Kyiv hadi leo hajafikaDR Congo wakiwa serious wanauweza wakaukamata Kigali ndani ya masaa 6 tu
Kwamba huo uwanja hauna askari hata mmoja?Wacongo walitua wakala bata masaa mawili baada ya kuondoka wanyarwanda ndio wakashtuka
Urusi ilikuwa na kila kitu kuzidi Ukraine ila hadi leo patupuRwanda ni ka nchi kadogo mno ukilinganisha na drc....sie tanzania tu kwa drc bado tunasubiri...so ukiongelea battle rwanda yaweza angamizwa within 25 minutes
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwamba Marekani hana Interest hapo Congo?Hiyo vita Itakuwa ni proxy war..muendelezo wa uhasama kati ya Urusi na nchi zawest..kinachoendelea ma bwana wakubwa wanasupport vita kwenye nchi nyingine zilizo na mlengo wao...utashangaa Rwanda anapewa msaada na Marekani na Uingereza na Israel, huku Kongo akipewav misaada na Urusi, china, Iran n.k so unaweza iona Rwanda ni mdogo but vita haitakuwa ndogo kama ilivyotokea vita kati ya Ethiopia na Tigray.
upumbav wenu mzung anakujaj ?hapoImetoka ulaya inakuja AFRIKA,mzungu ni kiumbe kibaya kuwahi KUWEPO duniani.chakushangaza ndo wamemuasisi Godfrey.sorry the almighty.
Soma vizuri vita yatoka ulaya kwa mrussi inakuja AFRIKA kwa mnyarwanda.upumbav wenu mzung anakujaj ?hapo
Nakubaliana na weweHiyo vita Itakuwa ni proxy war..muendelezo wa uhasama kati ya Urusi na nchi zawest..kinachoendelea ma bwana wakubwa wanasupport vita kwenye nchi nyingine zilizo na mlengo wao...utashangaa Rwanda anapewa msaada na Marekani na Uingereza na Israel, huku Kongo akipewav misaada na Urusi, china, Iran n.k so unaweza iona Rwanda ni mdogo but vita haitakuwa ndogo kama ilivyotokea vita kati ya Ethiopia na Tigray.
Yap rwanda haina air defence kabisa wanajitahidii sana ktk nyanja za ujasusi ila pia ujasusi wake ni kuwaua wale wakosoaji wa serikali yake akiwekeza nguvu nyingi ktk teknolojiaKwamba Rwanda hawana air defence?
Ukumbuke kuwa marekani,uingereza,na nchi wanachama wake hawawezi kutoa msaada kwa nchi ambayo haina maslahi mapana kwa mataifa yao mf rwanda leo akiingia vitani na nchi kama kongo obviously hapo nchi za ulaya yaani belgium na ufaransa zitakuja kwa maslahi yao binafsi hasa kwa upande wa congo ambapo ndipo zilipo rasilimali nyingi rwanda anaweza kuwa neutralised na hao hao wazungu kwasababu nchi yake haina maslahi kama madini,mbao,ardhi yenye rutuba maeneo ya uwekeezaji na mengine mengi hivyo pia hata marekani na ulaya wataegemea upande wa maslahi sio kudonate au kushhiriki ilimradi wameingia kama mataifa makubwa. Hii vita itakuwa advantageous kwa wazungu ambao watatumia muda wa kubeba mali kwenda kujiimarisha zaidi wao.Hiyo vita Itakuwa ni proxy war..muendelezo wa uhasama kati ya Urusi na nchi zawest..kinachoendelea ma bwana wakubwa wanasupport vita kwenye nchi nyingine zilizo na mlengo wao...utashangaa Rwanda anapewa msaada na Marekani na Uingereza na Israel, huku Kongo akipewav misaada na Urusi, china, Iran n.k so unaweza iona Rwanda ni mdogo but vita haitakuwa ndogo kama ilivyotokea vita kati ya Ethiopia na Tigray.
View attachment 2409528
Wataalam wa mambo hii siyo 'act of aggression' kweli? Katika wakati mgumu kama huu unarusha ndege ya kijeshi, sio ya kiraia. Au ndiyo Congo wameamua kutokuwa wanyonge tena? Pia sidhani kama Kagame atakubali huu utoto.
Bila shaka ndiyo kipenga kimepulizwa hivyo.
#BREAKING: Rwanda says a fighter aircraft from DR Congo violated its airspace on Monday and briefly landed at Rubavu Airport in Western Province.
“No military action was taken by Rwanda in response, and the jet returned to DRC," a statement said.
Ndayshimiye ameona aitishe kikao saa nane usiku kuokoa jahazi lakini tabu iko palepale.
View attachment 2409865View attachment 2409866View attachment 2409867View attachment 2409868View attachment 2409869View attachment 2409870
Sahihisha tu typology, ukweli unabaki palepaleNdege Haina dereva wa maku ni rubani...wakara ndiyo nini!?