Rwanda Wailaani DR Congo kwa ndege yao ya kivita kutua Rwanda

Hivi congo nao wanafighter jets? Maajabu!

Labda yale ma migs chakavu ya urus Lumumba aliyoyaacha.

Mzee Shirimaa
Miaka 40 na kitu bado zinapambana hizo ndege na NATO walizitolea Mguu wa Chura frogfoot

Zimepigana nchi nyingi sana nakumbuka mpaka Iran/ Iraq niliziona huko
 
Kuna rafiki yangu ni mzungu wa Ujerumani.. aliwahi kuniambia kuna nchi za wazungu bado zinanyonya afrika kikoloni.. tena mbunu ni zilezile kutumia viongozi kulaghai wananchi hapa tujiulize hata sisi tanzania huko Congo tupo kama sisi au tunatumiwa na pia??

maana kama wakenya hata bila kuujiuliza marambili jibu ni kwamba wanatumiwa na uingereza na marekani.. tanzania kama tanzania huwa tunapenda kusimamia haki..[emoji23]

Sasa tusijisababishie vita kama viongozi wetu ndo wanataka kututoa kafara.. kabla hatujaanzisha vita tujiulize ni hasara ya miaka mingapi nchi husika zitapata kiuchumi,kisiasa n.k

Ni gheri kutumia busara.. kama vile Kiwete alivyo nyamaza kipindi anaambiwa sisi tunajua Bongofleva tuu [emoji23]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…