Kama Rwanda sio nchi ya kiisilamu (sio n?chi ya kidini) iweje iingilie mambo ya dini kwa kukataza, "religious rites" za msingi??!!. Kumbuka Adhana haijaanza hivi karibuni bali imeanzishwa na mtume Muhammad (saw), nani sasa aje kumpinga Mtume ??!. Nasikia hata wachhungaji wamelazimisha wawe na shahada za theology ndipo wapewe ruhusa ya kutoa huduma za kiroho!!, Yesu alikuwa na degee ya theology ??, inaonekana kama Yesu angalikuwa mnyarwanda katika zama hizi akina Kagame ndio wangalikuwa mafarisayo wake.
Wewe ni mpingaji wa uisilamu tu, wala huna thamani yoyote kuliko Uhuru Kenyatta aliyeiheshimu Adhana ilipotolewa kule Dodoma wakati akihutubia.
Soma mwisho wa Iddi Amini alipoanza kuingilia uhuru wa dini nchini mwake, Mungu sio wa mchezo.