Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,kipindi mtume analeta mambo ya adhana, kulikuwa Na spika duniani?? Si walikuwa wansema Kwa mdomo Tu...ambayo sio Kelele.Adhana ni sehemu miongoni mwa sehemu katika ibada ya swala ya kiisilamu, Adhana ni Lazima itolewe kwa sauti na Adhana haina mbadala kwa njia yoyote kwani yenyewe inabeba ujumbe wa kiroho unaomuhamashisha mtu aache mambo mengine na akaswali, adhana ni wito wenye "spiritual admonitions" and can't be replaced by anything else.
Adhana mbali na kuamsha na kuwataarifu wenyeji juu ya muda wa ibada lakini pia inawajulisha wageni kwamba msikiti upo wapi na hivyo kuwaunganisha Wageni waisilamu na ndugu zao wenyeji wa kiislamu katika Swala nk, Uisilamu ni zaidi ya kuswali msikitini na kuondoka.
Shida iliyopo Rwanda ni 90+% ni Christians na wachache waliobaki ni Muslims hivyo utaona nguvu ya Udini imeshawishi kuwepo na hilo katazo hii ni tofauti na Tz ambapo kuna angalau 50/50% Muslims na Christians ambapo tumejengwa kuvumiliana katika masuala ya imani.
Kuzuia utoaji wa adhana ni pigo katika imani ya dini ya kiisilamu.
Kwani amempinga wapi?Sina mamlaka hayo ila MUNGU mwenyewe tu akiamua sekunde nyingi tunafukia.
Hauwezi kumpinga MUNGU ukabaki salama.
Watu wameanza kumchukia Mungu Kabla hata mtume wako hajazaliwa...Ukiona watu wanaanza kumchukia Mungu mjue mwisho wa dunia unakaribia
Dah masikini....inasikitisha.Sina mamlaka hayo ila MUNGU mwenyewe tu akiamua sekunde nyingi tunafukia.
Hauwezi kumpinga MUNGU ukabaki salama.
Kwani amempinga wapi?
Watu wameanza kumchukia Mungu Kabla hata mtume wako hajazaliwa...
Huyo Mungu kama tukimchukia dunia inaisha basi hata Sisi tusingeikuta
Je,nikishaifahamu ndipo nitaelewa sababu za kwanini nipigiwe kelele alfajiri?unaijua historia ya adhana!!!?
achana na jina la ALLAH
inafanyikaga asubuiSio kesi Usisahau mikutano ya siasa pia wafanyie ndani kwenye sound proof ikiwemo ya chama chake
Matangazo ya barabarani ya magari marufuku pia iwepo
inafanyikaga asubui?Na mikutano yake ya hadhara Kagame asitumie spika ni public nuisance kwa wagonjwa majumbani nk
Dah masikini....inasikitisha.
Lakini Mzee hayo mamlaka unayo.
Kwani ukivaa mabomu ukaenda kumlipua Kagame Kazi si inakuwa imeisha?? Waislam wa rwanda watapata kheri Na Wewe utaenda kupata thawabu mbinguni
Hujaelewa, kagame hajazuia adhana ila amezuia kutumia maspika kuadhini. Naona yuko sawa kabisa. Mambo ya kupigia watu makelele tena kwa kiarabu ni utovu wa nidham.Adhana ni sehemu miongoni mwa sehemu katika ibada ya swala ya kiisilamu, Adhana ni Lazima itolewe kwa sauti na Adhana haina mbadala kwa njia yoyote kwani yenyewe inabeba ujumbe wa kiroho unaomuhamashisha mtu aache mambo mengine na akaswali, adhana ni wito wenye "spiritual admonitions" and can't be replaced by anything else.
Adhana mbali na kuamsha na kuwataarifu wenyeji juu ya muda wa ibada lakini pia inawajulisha wageni kwamba msikiti upo wapi na hivyo kuwaunganisha Wageni waisilamu na ndugu zao wenyeji wa kiislamu katika Swala nk, Uisilamu ni zaidi ya kuswali msikitini na kuondoka.
Shida iliyopo Rwanda ni 90+% ni Christians na wachache waliobaki ni Muslims hivyo utaona nguvu ya Udini imeshawishi kuwepo na hilo katazo hii ni tofauti na Tz ambapo kuna angalau 50/50% Muslims na Christians ambapo tumejengwa kuvumiliana katika masuala ya imani.
Kuzuia utoaji wa adhana ni pigo katika imani ya dini ya kiisilamu.
nchi imewekwa vzr sn kias kwamb mtu mgeni atajulikana tu plus ana intellijensia bora sana ndan ya nchi yakeKagame awe makini wasianze kujitoa mhanga kwa kujilipua mabomu huko...
Je,nikishaifahamu ndipo nitaelewa sababu za kwanini nipigiwe kelele alfajiri?
Ni Nini?Unajua kilichowapata kaumu luti?
Watu wa nabii nuhu? Nk
kumbuka asili ya adhana ni uarabu ambapo enz hizo waislam walikuwa 80% tofauti na huku mnapoipigia debeAdhana ni sehemu miongoni mwa sehemu katika ibada ya swala ya kiisilamu, Adhana ni Lazima itolewe kwa sauti na Adhana haina mbadala kwa njia yoyote kwani yenyewe inabeba ujumbe wa kiroho unaomuhamashisha mtu aache mambo mengine na akaswali, adhana ni wito wenye "spiritual admonitions" and can't be replaced by anything else.
Adhana mbali na kuamsha na kuwataarifu wenyeji juu ya muda wa ibada lakini pia inawajulisha wageni kwamba msikiti upo wapi na hivyo kuwaunganisha Wageni waisilamu na ndugu zao wenyeji wa kiislamu katika Swala nk, Uisilamu ni zaidi ya kuswali msikitini na kuondoka.
Shida iliyopo Rwanda ni 90+% ni Christians na wachache waliobaki ni Muslims hivyo utaona nguvu ya Udini imeshawishi kuwepo na hilo katazo hii ni tofauti na Tz ambapo kuna angalau 50/50% Muslims na Christians ambapo tumejengwa kuvumiliana katika masuala ya imani.
Kuzuia utoaji wa adhana ni pigo katika imani ya dini ya kiisilamu.
Kagame is geniusKama hoja ndo kama yako naunga mkono uamzi wa Kagame. Hapa duniani kila jamii au imani ina Mungu wao ambaye hafanani na huyo wa kwako au wa mwingine. Hivyo huo utukufu unautambua pekee yako na sio wote. Hata upande wa makanisa alishapiga ban watu kujifanyia watakavyo. Kongole Prezida Kagame
Naona wamekaa kimya...inabidi waislam wa Tanzania waingilie Kati...Mzee ukitaka mabomu Mimi nna connection ya kuyapataHata bila mabomu huyo anaweza kuondoka.
Ni KUN FAYA KUN.
yaani Mungu akisema kuwa Basi inakuwa.
Na uenda waislam wa Rwanda hawajaamua kukaa kikao.
Ni suala la sekunde .Mungu anasubiri waislam wa Rwanda watasema Nini