Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Umenena vema
 


Kama Rwanda sio nchi ya kiisilamu (sio n?chi ya kidini) iweje iingilie mambo ya dini kwa kukataza, "religious rites" za msingi??!!. Kumbuka Adhana haijaanza hivi karibuni bali imeanzishwa na mtume Muhammad (saw), nani sasa aje kumpinga Mtume ??!. Nasikia hata wachhungaji wamelazimisha wawe na shahada za theology ndipo wapewe ruhusa ya kutoa huduma za kiroho!!, Yesu alikuwa na degee ya theology ??, inaonekana kama Yesu angalikuwa mnyarwanda katika zama hizi akina Kagame ndio wangalikuwa mafarisayo wake.

Wewe ni mpingaji wa uisilamu tu, wala huna thamani yoyote kuliko Uhuru Kenyatta aliyeiheshimu Adhana ilipotolewa kule Dodoma wakati akihutubia.

Soma mwisho wa Iddi Amini alipoanza kuingilia uhuru wa dini nchini mwake, Mungu sio wa mchezo.
 
Sawa adhana itakatazwa na kengele katika makanisa ya Roman kila alfajiri zitaruhusiwa kwakua ile siyo kelele ni sauti nzuri inayo vutia
 
Watuwengi hawaelewi kuwa dini ni utaratibu wa kibinadamu. Na utaratibu wowote unaweza kubadilishwa. Hata Muhamad hajawai kutumia maspika kuhazini ila wanadam wakaamend kutokana na mabadiliko ya Tech. Ni muda muafaka sasa waamendi watumie alam za sim kuamshana.
 


Mimi nalaani kitendo cha mamlaka kuingilia mambo ya msingi ya dini yoyote, tuache dini na wanadini wafanye dini na wanasiasa wafanye siasa, tuache waumini waishi kwa harmony na tolerence bila kuvunja amani, mamlaka kuingilia mambo ya msingi katika dini ni KIZUNGUMKUTI (vicious cycle) kwani hatujui ni kitu gani kitafuata baada ya hapo, inawezekana mamlaka yakaanza kuwachagulia waumini viongozi au hata kuamua kupingana na maandiko ya badhi ya vitabu vya dini nk, hiyo ni hatari.
 
Ukiona dalili hizi ujue amekaribia kufa, hata yule alianza kupambana na viongozi wa dini hakuchukua mda akafa.
 
Akizuia kelele azuie zote hadi za bar aache dabo standard.
 
Na kengele za roman za kipa jumapili nazo zimepigwa marufuku?? Kama hawajapiga marufuku basi ni double standard!
 
Sawa adhana itakatazwa na kengele katika makanisa ya Roman kila alfajiri zitaruhusiwa kwakua ile siyo kelele ni sauti nzuri inayo vutia
Makanisa zaidi ya 6,000 yalishafungwa.
 
Mimi ni Mkristo adhana haina shida yeyeto nje ya chuki tu kwanza ni kitu cha dakika chache tu. Kuita waumini wawahi ibadani. Pia wezi na wachawi umaliza shughuli zao kabla ya adhana Ili wasiingiliane na mida ya shughuli za wanadamu.
 

Wenye dini yao kule uarabuni wameshaanza kubadilika, nyie waswahili ndio bado mnasumbua watu na hayo makelele.
Hakuna anayewazuia kuabudu huyo alla na Mohammed, mnachoombwa ni myafanye bila kusumbua wasiohusiana na hayo mavitu.
 
Mwenyezi Mungu amuangamize yeyote anayetaka kuidhalilisha dini yake kama alivyowangamiza kina Fir-auni,Namrudha na wengineo katika ulimwengu huu.

Huyu jamaa kisha ikamata Rwanda hakuna wa mnyarwanda mwenye kumchallenge akakubali lazima amdhoofishe,Sasa hapa kwenye Adhana amechezea Moto utakaomchoma muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…