Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri


Hehehehe Huyo mtume nimchukie wa nini wakati hanihusu, simuabudu wala simjui na sina mpango wa kumjua na sitegemei ije siku nimjue, ila ninachokisema acheni kusumbua watu na mambo yake, wakati mnamuabudu fanyeni bila kupigia watu makelele alfajiri, bora hata mchana lakini sio mida ambayo watu wamelala.
 
Sio amuoneshe amuulize.
Ujue katika kuzaliwa kwetu kuna mafundisho makubwa Sana ya kujua uwepo wa Mungu
Amuoneshe kamtoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah noma snaa
 
Ila punguzeni kelele...kufa isiwe sababu kila mtu atakufa

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama wanalijua hilo kwann wanaingilia UHURU wa wengine.
Kwani hio adhana imeanza enzi ya kagame.
Mtu anaekaribia kufa huwa hakosi sababu.
Ye kama ni mbabe azuie kifo.
Bashite kaua watu halafu eti anaogopa kufa eti kuna watu wanamuwinda
 
Gr8 thinking

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Maajabu ya dunia, nchi ya walevi nao wanajua eti sauti isizidi decibel 55 , vipi bado hawajapokea wakimbizi wa Romania na Afghanistan walioko U.K ?
Misikiti ilikuepo na utaratibu huo kwa zaidi ya miaka 100 hapo Rwanda, na ndio ilikuwa kimbilio la kuwahifadhi wahanga katika mauaji ya kimbari ya mwaka 94 leo imekuwa inawapigia kelele kwa adhana ya dakika 3 au sio ? Vimsaada vya Paundi milioni mbili ndio vinawatoa ufahamu , haya bana.
 
Kwa uzoefu ukishaona mtawala yeyeto keshaanza kuchokoza dini jua amekaribia kufa yupo kwenye kutapatapa. Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…