Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Nenda rwanda ukayaongee haya kwenye msikiti tembea na PA kabisa..kisha utuletee mrejesho.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna akili

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli Rwanda wanajielewa sana kwa hili nawaunga mkono hata Yale makanisa yenye kukesha nayo yafungiwe kupiga kelele Mungu haabudiwi kwa makelele

Roho ya Jezeberi hiyo ikemee Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 


Binadamu sio wewe mtu tunatakiwa tuishi kwa tolerences, kama hakuna torelences jamii ndio utasikia wengine wakiuana kwa chuki za ukabila nk, dini zipo za aina nyingi kama yalivyokuwa makabila ni uvumilivu na masikilizano ndani ya dini ndio unajenga mahusianp mema.

Njoo Tz ujifunze hizo tolerences na harmony, mimi ninapoishi majirani zangu Wote ni dini zingine na katika eneo letu kuna misikiti na mbele kidogo kuna Kanisa Katoliki, ikifika alfajiri ni Adhana na ikifika saa 12 asubuhi ns jioni ni Kengele ya kanisani tunaishi hivyo na watoto wetu wameishi hivyo na wala hakuna shida we are accustomed to that situations all these times and no strives , akili n nature ya binadamu ipo katika kuji tune na ku adapt mazingira, kama.nyie huko mmeshindwa ku adapt mazingira ya aina hiyo je mtaweza ku adapt.mazingira ya kuishi bila ukabila??!!.

In this case Tz is a highly blessed country.

الحمد لله.
 

Tolerance haimaniishi uniharibie usingizi alfajiri yote, kama binadamu tumekubaliana kuishi pamoja licha ya tofauti zetu za kiimani na kiitikadi, ila tusibughudhiane, abudu unachokiabudu huko kwa amani bila kuniharibia mambo yangu, usinilazimishe kuabudu hicho unachokiabudu, nikitaka mwenyewe nitakuhoji kukihusu na labda nijiunge tukiabudu sote, nakumbuka nikiwa kijana nusra nijiunge uisilamu kisa mnaruhusiwa kuoa wanawake wengi, uchu wa ngono ndio ulikua unaniongoza.
 
Hapo umeongea upupu kabisa. Hakuna dini ya Mnyezi mungu. Mungu hana Dini, hizi ni Taratibu za kibinadam wamejiwekea
Enyi mlio amini! Msivunje hishima ya alama ya Dini ya Mwenyezi Mungu wala mwezi mtakatifu, wala wanyama wanao pelekwa Makka kuchinjwa, wala vigwe vyao, wala wanao elekea kwendea Nyumba Takatifu, wakitafuta fadhila na radhi za Mola wao Mlezi. Na mkisha toka Hija yenu basi windeni. Wala kuwachukia watu kwa kuwa wali- kuzuilieni kufika Msikiti mtakatifu kusikupelekeeni kuwafanyia uadui. Na saidianeni katika wema na uchamngu. Wala msisaidiane katika dhambi na uadui. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu. qur- an 5:2
 
Majengo ya misikiti inajulikana na hakunasababu ya makelele. Watu wamelala unasikia kiarabu alafu wanaanza kutishia Mara sanda, mara Kaburi hadi unajiuliza unaenda mzimuni au
Bro umenichekesha Sana kwa kweli. Mahubiri ya washikaji yanavitisho balaa.
 
Waislamu Simu wanazo waweke alarms ziwaamshe
Waislamu Walichekelea walokole walipopigwa marufuku kutumia spika

Na katoliki nao waache kugonga kengele zao zinaleta kelele

Pia bar marufuku hiyo wapewe na mkutano ya kisiasa iwe marufuku kutumia spika
Adhana si kelele na wala hailingani na kengele. Kama madhumuni ni kuzuia kelele basi pigeni marufuku kengele na miziki,Sisi msituguse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…