Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Hata Wakristo kupiga muziki na matumizi ya vipaza sauti ambavyo vinapeleka sauti mbali kwa watu ambao siyo sehemu ya hadhara iliyopo, siyo uungwana. Lakini afadhali hayo yafanyike mchana kuliko kuamsha watu saa 10 usiku tena kwa maneno jeuri kabisa, "amka, amka, amka... kumekucha".
Sio kila kitu cha kuiga, wakipiga marufuku adhana wasisahau na utitiri wa makanisa yanayopiga mziki weekdays kwenye makazi ya watu tena kwa maspka
 
Mada kama hii ya "Adhana" ilimfukuzisha kazi Dada mmoja maarufu tu huko Twitter baada ya kukaa kwenye kipindi cha Televisheni alichokua akiendesha aka support hoja ya 'Mgeni Mualikwa' baada ya Mgeni kusema kwamba 'Adhana' ni Noise pollution!..Kipindi kikaisha saa 07:50, sijui wale jamaa wa Bakwata walitokea wapi..wakatwanga simu moja kwa 'Mmiliki' ...ndani ya Dakika chache walimiminika wale jamaa kwenye viunga vya studio wakitaka ufafanuzi wa hoja zilizoungwa mkono na 'Presenter'.....Flashback hiyo! Zamani kidogo imetokea..na Huyo Dada alirudi kwenye runinga baada kama ya 7 yrs hivi! 😂 😂 😂 Mada korofi sana hizi!
Aisee hatari sana mambo ya imani😂
 
Hata Wakristo kupiga muziki na matumizi ya vipaza sauti ambavyo vinapeleka sauti mbali kwa watu ambao siyo sehemu ya hadhara iliyopo, siyo uungwana. Lakini afadhali hayo yafanyike mchana kuliko kuamsha watu saa 10 usiku tena kwa maneno jeuri kabisa, "amka, amka, amka..."
Kuna makanisa yanafanya amzoezi ya kwaya mpaka saa nne. Kuna mikesha na tena yako maeneo ya makazi
 
Rwanda wamepiga marufuku vyote hivyo. Ukute hata masuala ya mashindano ya dini au matamasha ya kwaya uwanjani kama kwa mkapa isingewezekana huko
Sio kila kitu cha kuiga, wakipiga marufuku adhana wasisahau na utitiri wa makanisa yanayopiga mziki weekdays kwenye makazi ya watu tena kwa maspka
 
Back
Top Bottom