Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Tuache mambo ya Wakristo ama Waislamu. Point ni kwamba, unapofanya kazi zako, fikiria watu wanaokuzunguka pia. Usijifikirie wewe mwenyewe. Kazi zako zisisumbue watu wengine. Uwe na baa ama club, uwe Mbudha, uwe Mkristo ama uwe Muislam ama mpagani. Umeelewa? - ACHIKOYO
Kuna makanisa yanafanya amzoezi ya kwaya mpaka saa nne. Kuna mikesha na tena yako maeneo ya makazi
 
Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.

Hii ni Taharifa ya BBC...

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo.

-

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

-

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu. View attachment 2188599

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Ni swala la.muda tuu hata masipika ya kanisani yatapigwa marufuku
 
Huku kwetu mwisho decibles ngapi?
 
Tuache mambo ya Wakristo ama Waislamu. Point ni kwamba, unapofanya kazi zako, fikiria watu wanaokuzinguka pia. Usijifikirie wewe mwenyewe. Kazi zako zisisumbue watu wengine. Uwe na baa ama club, uwe Mbudha, uwe Mkristo ama uwe Muislam ama mpagani. Umeelewa?
Umenikumbusha bar, nazo ziko kwenye makazi ya watu zinaachia mziki. Hivi tz hakuna sheria zinazofuatwa. Mfano nasikia eti vituo vya mafuta vinabidi viachiane 3 kms, lakini unakuta viko opposite eavh other, bar kwenye makazi ya watu
 
Nashukuru umenielewa sasa. Ulitaka kulifanya jambo la Ukristo dhidi ya Uislamu.

Back
Top Bottom