Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Mmmh
Haya tuendelee kuangalia nini kitajiri
 
Kwamba dini zimekuja na meli ni tafsiri potofu. Kwa sababu Mwenyezi Mungu yupo kila mahali na watu wote wanaishi kwa mipango yake.Basi dni zimo ndani ya miili yetu.Kuna watu tu ambao huwa wanakumbusha wenzao.Wengine katika kukumbusha wala hawafungi safari kwa ajili hiyo.Wako baashi walioshindwa wanaofanya hivyo na mara nyingi hawafanikiwi.
 
Wengi wetu tuna takataka nyingi sana kwenye mioyo yetu na vichwa vyetu: negativity
 
Ahsante kwa maoni yako [emoji4]
 
Hao wamesema wanataka kuamshwa?Yaani wewe mfanyakazi au msafiri hujitambui mpaka utegemee adhana?Haya na siku ambayo husafiri au huendi kazini bado usumbuliwe!
Kuingilia UHURU wa wengine kuabudu ni uonevu
 
Huko unakotolea mifano,hawapigi kelele kwenye makazi ya watu!Tena Kuna kitu kinaitwa noise pollution na Wana sheria zao!
Ulevi na umalaya unakuathiri wewe mwenyewe mshiriki,ila makele yanaathiri kila mtu!
 
Taifa lenye ulevi na umalaya na Taifa linaloathiriwa na "kelele" za dk 1 za adhana na kengele za kanisani tupilia mbali kelele za magari continuing lipi bora??!!

Kumbuka adhana na kengele zinaita watu kwenye moral.
 
Unazungumzia kipi bora Kwa nani?Maana hiyo ni dhana pana ndio maana unaambiwa serikali Haina dini ila wananchi wake wako huru kuwa waumini wa dini yeyote!So serikali inawahudumia wote,wenye dini na wasio na dini!Na hapa ndio inaweka mstari Ili uhuru wa upande mmoja usivuke mipaka na kuingilia uhuru wa upande mwingine!Ndio maana serikali inakusanya Kodi ya Pombe,Sigara na Kodi nyingine zinatoka katika miradi ya taasisi za dini!Hizi zote huwekwa kapu Moja na huja kuwahudumia wananchi wote bila kujali tofauti kiimani!
So habari ya kipi bora,nitakuuliza kipi bora Kwa nani!
 
Huo sio uhuru wa kuabudu,uhuru wako wa kuabudu usiingilie uhuru wa wengine wasio shiriki hiyo ibada Yako!
Yule ni mpita njia atapita ataondoka zake, katazo lake lingekuwa na maana kama anaishi milele. Akazuie kelele za magari na ndege nazo uleta kelele. Ukiona mtu anaanza shindana na dini jua amekaribia kufa.
 
Huyu mwishowe atakuwa shoga kama hao wafadhili wake. Tulimuona wa maana kumbe bure kabisa. Nani alimpa yeye cheti cha kuwa raisi.
Alijipa cheti mwenyewe kwa kuongoza Jeshi kushika nchi.Maspika msikitini Ni marufuku na Cha kumfanya hamna zaidi ya kulia Lia mitandaoni.
 
Analeta ujinga baada ya Ujinga jirani yetu.Hatutaki jirani mjinga kama Ukraine.Mara wakimbizi wa Uiengereza waje kwake.Mara adhana.Kama aliwahi kusifiwa eti ameleta maendeleo basi mwisho wake ni sasa.
Mwisho wake unaletwa kwa sababu ya kuzuia makelele ya msikitini?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwani Kuna sehemu kwenye taarifa wamemtaja Kagame ndiye kaamua?
Jambo lolote kuu likipitishwa na mkuu wa nchi yupo maana lina baraka zake au ni maagizo yake.
Kwani yeye anazama front kuuwa watu au amri ndo utoka kwake ya kuua watu.
 
Jambo lolote kuu likipitishwa na mkuu wa nchi yupo maana lina baraka zake au ni maagizo yake.
Kwani yeye anazama front kuuwa watu au amri ndo utoka kwake ya kuua watu.
Sasa huenda yeye alipata malalamiko kutoka Kwa wananchi wake na serikali ikaamua!Angekuwa na agenda binafsi basi angeshazuia muda mrefu kwani ana miaka mingi madarakani!
Huenda adhana Imekuwa kero kubwa Kwa Sasa kuliko ilivyokuwa huko awali!
 
Kagame anelekea kubaya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…