Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Usipende kubishana ipi dini bora na ipi sio bora dini zote zimekuja na Meli na mitumbwi Waafrika walikua hawana dini tuishi kwa kuamini na kwa upendo tuliorithi kutoka kwa mababu zetu baasi lakini ukimuona mtu yupo busy kuelezea ubora wa dini yake kupitia vifungu jua anapotea..
Mimi nimesema Dini Bora ni ipi ?
Hebu ninukuu niliposema hivyo na bandika hapa kama maneno yako ni sahihi.
Uwe unasoma maoni kwa uchambuzi na sio mihemuko.
 
Paul kagame noma. Ingekuwa tz tungepga kelele knoma
Kagame anasomaga manovel ya Tom clancy,, Mark Greaney, etc , ndo maana anajiamini sana,, yaani ukimchezea anakufanya kitu mbaya, [emoji16]
 
Wana ajenda nyengine,adhana ina ladha ya kusikilizwa hata kwa asiyekuwa muislamu.Kwa viumbe vyote ni ushahidi wa kuelekezwa kwenye ibada kabla siku ya mwisho kuwadia.Hivyo adhana inaacha ushahidi hata kwa Kagaame kuwa aliisikia na akashindwa kufuatilia maana hivyo aswekwe kwenye jahannam kwa nguvu na bila huruma.
Yule ni mtu wa motoni tayari kwa matendo yake ya kusababisha mayatima na wajane kwenye Jamii.
Kuua watu kungekuwa na maana zaidi kama mtu unaishi milele, nje ya hapo ni kuukimbiza upepo tu
 
Wana ajenda nyengine,adhana ina ladha ya kusikilizwa hata kwa asiyekuwa muislamu.Kwa viumbe vyote ni ushahidi wa kuelekezwa kwenye ibada kabla siku ya mwisho kuwadia.Hivyo adhana inaacha ushahidi hata kwa Kagaame kuwa aliisikia na akashindwa kufuatilia maana hivyo aswekwe kwenye jahannam kwa nguvu na bila huruma.
Jehannam Yenu waislam inamuhusu vipi Kagame ambae Ni mkristo?
 
Compromise ndio inajenga haki kinyume chake ni chaos and turmoils .
Ndio nakwambia,sio haki Kwa waislamu kupigia watu kelele asubuhi Kwa adhana,pia Kwa wa RC kuamsha watu na makengele,pia Kwa madhehebu mengine yanayopigia kelele watu!
Hizo ni favours na siku zikizidi zikawa kero zaidi zinaweza kuondolewa kama Rwanda walivyofanya na kusiwe na wakuleta chokochoko!
Ni mwendawazimu pekee atakayeenda kujilipua kisa amezuiwa kupigia watu makelele!
 
Wana ajenda nyengine,adhana ina ladha ya kusikilizwa hata kwa asiyekuwa muislamu.Kwa viumbe vyote ni ushahidi wa kuelekezwa kwenye ibada kabla siku ya mwisho kuwadia.Hivyo adhana inaacha ushahidi hata kwa Kagaame kuwa aliisikia na akashindwa kufuatilia maana hivyo aswekwe kwenye jahannam kwa nguvu na bila huruma.
Sio kweli.
Mi binafsi sipendi kusikiliza adhana hasa ya alfajiri, ina niletea usumbufu mkubwa sana.
Wanaopenda kusikiliza adhana ni ndugu zenu hawa hapa.

72:1 - Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!

Adhana ya asubuhi ikipigwa, kundi kubwa la Majini nalo linaelekea Misikitini kuswali.

Ni muda wa hatari sana kwa asiye Mwislamu kupita katika njia inayoelekea Msikitini.

Mi siku zote nahakikisha naishi Mbali na Msikiti.
Kwa ajiri ya usalama wangu na wa familia yangu.
 
Jehannam Yenu waislam inamuhusu vipi Kagame ambae Ni mkristo?
We wacha hizo. Jahannam ni kwa kila binadamu aliyeshindwa kutumia akili zake vizuri.Akashindwa kujisoma na kusoma dini ipi ni ya haki. Wewe unakula na kutumia vitu vya muumba halafu unajitia hamnazo na humtambui yeye,Hawezi kukuacha hata siku moja.
 
Ndio nakwambia,sio haki Kwa waislamu kupigia watu kelele asubuhi Kwa adhana,pia Kwa wa RC kuamsha watu na makengele,pia Kwa madhehebu mengine yanayopigia kelele watu!
Hizo ni favours na siku zikizidi zikawa kero zaidi zinaweza kuondolewa kama Rwanda walivyofanya na kusiwe na wakuleta chokochoko!
Ni mwendawazimu pekee atakayeenda kujilipua kisa amezuiwa kupigia watu makelele!

Na ni mwendawazimu yule atayeongoza nchi na asijue mahitaji tofauti ya jamii ya watu wake na asiweke compromise

Nami nasema ni kiongozi mwendawazimu na asiyejua uongozi yule ambaye hatoangalia social fabric ya jamii zake na akashindwa ku compromise permanently juu ya mahitaji yao ambayo yakiathiriwa yanaweza kusababisha social chaos, sasa you either choose chaos and instabilities and short anxiety sleepless nights or peace and harmony

Matatizo mengi ya ukabila katika baadhi ya nchi chanzo ni vitu kama hivyo, hapo nampa credit nyerere kuifanya Tz iwe hivi ilivyo japo wapo watu wasiojua thamani ya Compromiise na wangependa misuguano na vita.
 
Maneno mengi si ni ya ukweli mtupu.
Adhana haina mantiki yoyote hata kwa tafsiri yake ukiachana na kusumbua watu wengine.

Ni bora ukae kimya kuliko kujidhalilisha, maana hakuna hata moja la maana uliloandika,,,kwako wewe adhana utaona haina mantiki lakini kwa waisilamu kote duniani ina mantiki,,,ndiomana nikasema atokee mjinga mmoja akemee au azuie adhana aise aise atakachokipata atasimulia makafiri wenzie wanaosapoti.

Mi nakuambia ingekuwa Dini ya Kiislamu inatamka ibada zake kwa Kiswahili ingekuwa ni vichekesho tu

Ndio mana tunasali huku tunatamka maneno kwa kiarabu na sio kichina, kiswahili, kiingereza n.k. kiarabu ni💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽

Mnachoogea ni tofauti na kinacho dhaniwa.
Wa fikiria mtu ana amka asubuhi na kupiga kelele;

Allah mkubwa... Allah mkubwa... Allah mkuwaaaa

Hebu niambie hicho kinachodhaniwa ni nini?
 
Na ni mwendawazimu yule atayeongoza nchi na asijue mahitaji tofauti ya jamii ya watu wake na asiweke compromise

Nami nasema ni kiongozi mwendawazimu na asiyejua uongozi yule ambaye hatoangalia social fabric ya jamii zake na akashindwa ku compromise permanently juu ya mahitaji yao ambayo yakiathiriwa yanaweza kusababisha social chaos, sasa you either choose chaos and instabilities and short anxiety sleepless nights or peace and harmony

Matatizo mengi ya ukabila katika baadhi ya nchi chanzo ni vitu kama hivyo, hapo nampa credit nyerere kuifanya Tz iwe hivi ilivyo japo wapo watu wasiojua thamani ya Compromiise na wangependa misuguano na vita.
Rwanda wamefanya,ngoja tustudy mwelekeo wao,pengine tutajifunza Toka kwao na kuadopt au tutaachana na Mpango kama wake!
 
Hakuna positive cha kujifunza huko, ni dhuluma tu hiyo, ni jamii ya waisilamu walio wachache kukandamizwa kiimani na utawala wa kidikteta usiojali haki za watu za kuabudu, hicho ni kitu cha hovyo kinachoweza kuamsha chuki za kiimani dhidi ya utawala, kama utawala unaweza kuingilia the basic tenets za dini si ipo siku utawala utasema mapadri wote wanatakiwa waoe au ni marufuku kwa Waisilamu kuoa mke zaidi ya mmoja!!---- that's the beginning of a vicious cycle and if not stopped it will keep on circling to other rituals.

Kama inavyofahamika Adhana ni sehemu inayohusiana na ibada kubwa kuliko ibada zote katika dini ya Uisilamu, ibada ya swala, kuzuia adhana ni ku cripple ibada hiyo, makalamiko ya kelele ni baseless ukizingatia tunaishi katika mazingira 7/24 yaliyojaa kelele za aina mbalimbali za magari, honi, miziki, mibweko ya mbwa nk, hizo zote hazionekani ni kelele isipokuwa adhana ya dk1 ndio kelele!!!?---- kweli ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
 
Uhuru wako wa kuabudu usiingilie uhuru wa wengine!Masuala ya kuoa ni mfano mfu kwani ni mambo binafsi yasiyoingilia uhuru wa wengine!
 
Sema hivi; "uhuru wangu wa kuabudu unaishia pale uhuru wako unapoanzia"--- hii ndio kauli murua isiyokuwa na SHARI.

kuoa ni suala binafsi sasa utawala unaposema watu wote walale kuanzia saa 12 jioni, hapo kutakuwa na uhuru binafsi??, utawala ukisema wanawake wengi hawana waume na kila mtu yeyote rijali lazima aoe hapo kutakuwa na hiyari??, halikadhalika utawala ukisema; ni marufuku kuoa mke zaidi ya mmoja kutokana na uhaba wa wanawake, hapo unayo hiyari kwakuwa wewe. ni muisilamu??!!
 
Mifano Yako sio hai!Hayo yote uliyotolea mifano hayafanani na hoja husika ya kupigia watu makelele!Mtu aseme aweke Spika kubwa nyumbani Kwake halafu afungulie mziki mkubwa usiku kucha halafu aachwe kisa Yuko huru?
Ndio maana hata club za usiku Zina utaratibu wake kuhusu masuala ya sauti!Sema tu rushwa imetawala na watu wanapiga mziki usiku kucha kwenye maeneo ambayo hayana sound proof!
Hizi dini zinavumiliwa tu na kelele zao wanazowaletea watu majumbani,na wao wanatakiwa kuelewa sio haki Yao Bali ni favour tu!
Na haya mambo Yako uswahilini tu,nenda Kwa mitaa ya matajiri huko uone kama Kuna hayo makelele!
 
Bora ya adhana kuliko makelele ya mabaa na yale ya walokole. Kusiwe na double standard.
Ila adhana ya asubuhi nayo waache vikolombwezo maneno meeengiiiii. Piga adhana maliza. Plus kwa alfajiri vile vema kupunguza sauti..ni kutumia tu uungwana.
 
Mbona Rwanda wamezuia na haiwi chochote!!

Kule waislamu ni wachache ukilinganisha na huku waislamu ni wengi zaidi ya wasio waisilamu

Na sensa ya dini imezuiwa wanajua fiika waislamu ni more than Christians and Paganism.
 
Mifano Yako sio hai!Hayo yote uliyotolea mifano hayafanani na hoja husika ya kupigia watu makelele!Mtu aseme aweke Spika kubwa nyumbani Kwake halafu afungulie mziki mkubwa usiku kucha halafu aachwe kisa Yuko huru?
Ndio maana hata club za usiku Zina utaratibu wake kuhusu masuala ya sauti!Sema tu rushwa imetawala na watu wanapiga mziki usiku kucha kwenye maeneo ambayo hayana sound proof!
Hizi dini zinavumiliwa tu na kelele zao wanazowaletea watu majumbani,na wao wanatakiwa kuelewa sio haki Yao Bali ni favour tu!
Na haya mambo Yako uswahilini tu,nenda Kwa mitaa ya matajiri huko uone kama Kuna hayo makelele!

Nadhani tuishie hapa kwani tunazunguka tu.

Adhana sio kelele kama jinsi mlio wa honi, gari, mbwa, jogoo anayewika, radi nk, honi, gari, mapikipiki, watoto, jogoo nk, milio yao inayosababu na faida katika jamii--- labda uniambie hakuna sababu na vinatoa milio kiwendawazimu!!

Adhana ni mwito kwa waumini kwenda kufanya ibada, ibada ni mafundisho ya hulka njema (morals) ---hutanielewa kama wewe ni ethiest, naamini wewe unaamini Mungu.

Imani za dini ndizo huweka misingi ya morals kwa watu na ndio maana utasikia marakadhaa viongozi wa kisiasa wakiwahimiza viongozi wa kidini kuwasaidia kuwajenga waumini wao kimaadili nk, ili kujenga jamii bora, hapo sasa utaona dini ina take part katika kujenga jamii, utawala kuzuia adhana ni kuweka kizingiti indirectly kwa dini kujenga hulka kwa waumini ambao ni sehemu ya jamii ya watu wote, unless tukubaliane kwamba nchi husika inafuata misingi ya Communism hapo ni kesi nyingine.

Ninachotaka kukuambia ni hiki; Dini ni imani ndani ya jamii na utawala bora ni ule unao Compromise imani, utamaduni, mila nk, za jamii husika ili kuleta amani, maelewano kati ya jamii na utawala nk.

Chuki ya adhana isiwapofusheni mkawa shortsighted msione mbali zaidi ya hapo juu ya kitu kinachoweza kutokea, suala hili ni mtambuka.
 
Back
Top Bottom