avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
🇹🇿 Nyumba za ibada na za starehe zitungiwe sheria ziwe soundproof ili sauti hizo ziwapendeze wanazozipenda tuu
🇹🇿 Kengele , maspika nje ya nyumba za ibada ambazo ni njia za kizamani za kuwakumbusha watu kwenda ibadani ziondolewe na badala yake watu watumie saa na alarm za simu
🇹🇿Ibada za kelele mitaani zifutwe kwani hizi ndio chanzo cha kurushiana maneno
🇹🇿 Majumuiko ya mikesha ya kijamii kama harusi za kiswazi na misiba iwekewe utaratibu ili isiwe kero kwa watu wengine wasiohusika , usiku sauti inakwenda mbali sana hivyo wakati ninyi mnasherekea au kuomboleza na mamiziki yenu kuna wagojwa ambao wanahitaji utulivu ili wapumzike na kuongeza siku za kuishi
🇹🇿 Magari ua pikipiki za masharobaro zilizotobolewa exhaust na kupiga kelele makusudi mjini au pikipiki kuwekewa ma horn ya meli ni kero kubwa na mishtuko kwa watu ,itungwe sheria msli hizo ziteketezwe na wao waende jela
🇹🇿🇹🇿🇹🇿UNAPOFURAHIA HAKI/UHURU WAKO USIINGILIINGILIE UHURU /HAKI YA MWINGINE🇹🇿🇹🇿🇹🇿