Kitu cha dakika moja sidhani kama ni kero kiasi hicho.Kama ishu ni kelele vipo vizalisha kelele vingi tena kwa mda mrefu tu.Sasa huenda yeye alipata malalamiko kutoka Kwa wananchi wake na serikali ikaamua!Angekuwa na agenda binafsi basi angeshazuia muda mrefu kwani ana miaka mingi madarakani!
Huenda adhana Imekuwa kero kubwa Kwa Sasa kuliko ilivyokuwa huko awali!
mpigie boss wa maestro KagameMada kama hii ya "Adhana" ilimfukuzisha kazi Dada mmoja maarufu tu huko Twitter baada ya kukaa kwenye kipindi cha Televisheni alichokua akiendesha aka support hoja ya 'Mgeni Mualikwa' baada ya Mgeni kusema kwamba 'Adhana' ni Noise pollution!.
Kipindi kikaisha saa 07:50, sijui wale jamaa wa Bakwata walitokea wapi..wakatwanga simu moja kwa 'Mmiliki' ...ndani ya Dakika chache walimiminika wale jamaa kwenye viunga vya studio wakitaka ufafanuzi wa hoja zilizoungwa mkono na 'Presenter'.
Flashback hiyo! Zamani kidogo imetokea..na Huyo Dada alirudi kwenye runinga baada kama ya 7 yrs hivi! [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mada korofi sana hizi!
ndo kazuia kote , kama inakuuma mrukie hewanNi wao sio sisi
Acheni waendelee kuabudu
Adhana haina kelele kihivyo linganisha na makelele ya born again Makanisa ya vichochoroni ..... just saying
acha kukurupuka , Kagame sio nyumb kama serikali yako , kazuia kote , elewa KAZUIA KOTEUkataze adhana uruhusu wenye mabaa wapige mziki watakavyo,laana hiyo.Adhana ya dakika mbili ina tatizo gani? Adhabu yake ipo na siyo muda mrefu
hahahaa inakera sana sema wao wanaona sawa kutusumbua tuHata Wakristo kupiga muziki na matumizi ya vipaza sauti ambavyo vinapeleka sauti mbali kwa watu ambao siyo sehemu ya hadhara iliyopo, siyo uungwana. Lakini afadhali hayo yafanyike mchana kuliko kuamsha watu saa 10 usiku tena kwa maneno jeuri kabisa, "amka, amka, amka... kumekucha".
kelelee za dk moja zibamuamsha mtu , je unajua karudi saa ngap kazin na amelala saa ngap , kuweni na hekima unataka kwenda msikitini kwann msiende msikitini mkafundishane huko msikitin mawaidha yoteAdhana yenyewe haichukui hata dk 5..
Hata hapa bongo,Sina complain kuhusu adhana ya jioni!Maana muda huo pilikapilika ni nyingi na adhana inaweza kuvumilika!Kitu cha dakika moja sidhani kama ni kero kiasi hicho.Kama ishu ni kelele vipo vizalisha kelele vingi tena kwa mda mrefu tu.
Kero zipo nyingi ndo kuvumiliana huko.Hata hapa bongo,Sina complain kuhusu adhana ya jioni!Maana muda huo pilikapilika ni nyingi na adhana inaweza kuvumilika!
Issue Huwa ni Ile ya saa 11 asubuhi,muda huo unakuta mtaa uko kimyaa watu wamelala na ule usingizi wa asubuhi ndio umekubali,mara ghafla unaamshwa na hizo kelele,kiukweli inakera!Kama umeshakaa Karibu na msikiti utaelewa!
Unazungumzia kipi bora Kwa nani?Maana hiyo ni dhana pana ndio maana unaambiwa serikali Haina dini ila wananchi wake wako huru kuwa waumini wa dini yeyote!So serikali inawahudumia wote,wenye dini na wasio na dini!Na hapa ndio inaweka mstari Ili uhuru wa upande mmoja usivuke mipaka na kuingilia uhuru wa upande mwingine!Ndio maana serikali inakusanya Kodi ya Pombe,Sigara na Kodi nyingine zinatoka katika miradi ya taasisi za dini!Hizi zote huwekwa kapu Moja na huja kuwahudumia wananchi wote bila kujali tofauti kiimani!
So habari ya kipi bora,nitakuuliza kipi bora Kwa nani!
Kero ni nyingi na kila siku zinaendelea kutatuliwa!Kero zipo nyingi ndo kuvumiliana huko.
Sidhani kama adhana inaweza fikia hatua ya kuwa kero hivyo nje ya chuki labda kama speaker zimeelekezwa dirishani kwako hilo ni suala jingine.
Mkuu kwanza Kwa mazingira yetu Africa,nchi zina hivyo vyote Kwa pamoja!Yaani uzinzi,ulevi na makelele hayo ya Nyumba za ibada!Huoni hapo tatizo ni kubwa zaidi!Nways pombe na uzinzi ni chaguo la mtu,dini pia ni chaguo la mtu!Kipi bora kwa nchi, yaani nchi yenye walevi na malaya na nchi isiyokuwa na hao watu lakini kuna "kelele" za adhana na kengele za makanisani zinazodumu kwa muda mfupii (achilia mbali kelele zingine za vitu mbalimbali 7/24) ni nchi ipi ni bora.
Ujue hapa tunazungumzia social life.
Watu wanataka kutuaminisha kwamba sauti ya adhana inawanyima uhuru na kengele zinawanyima haki na kuwapa karaha lakini kelele zingine za kila siku haziwapi karaha!!!, hivyo adhana ipigwe marufuku kwasababu inasumbua kundi moja na kulipendelea jingine hivyo lazima ipigwe marufuku and NO compromise!!!--- unaiona hiyo hatari??!!
Mkuu kwanza Kwa mazingira yetu Africa,nchi zina hivyo vyote Kwa pamoja!Yaani uzinzi,ulevi na makelele hayo ya Nyumba za ibada!Huoni hapo tatizo ni kubwa zaidi!Nways pombe na uzinzi ni chaguo la mtu,dini pia ni chaguo la mtu!Kipi bora kwa nchi, yaani nchi yenye walevi na malaya na nchi isiyokuwa na hao watu lakini kuna "kelele" za adhana na kengele za makanisani zinazodumu kwa muda mfupii (achilia mbali kelele zingine za vitu mbalimbali 7/24) ni nchi ipi ni bora.
Ujue hapa tunazungumzia social life.
Watu wanataka kutuaminisha kwamba sauti ya adhana inawanyima uhuru na kengele zinawanyima haki na kuwapa karaha lakini kelele zingine za kila siku haziwapi karaha!!!, hivyo adhana ipigwe marufuku kwasababu inasumbua kundi moja na kulipendelea jingine hivyo lazima ipigwe marufuku and NO compromise!!!--- unaiona hiyo hatari??!!
Ukosefu wa mipango miji umeanza baada ya UHURU kwa nchi za afrika ni tatizoKero ni nyingi na kila siku zinaendelea kutatuliwa!
Kungekuwa na upangaji mzuri wa miji,hii kero isingekuwepo!Nyumba za ibada zingetengewa maeneo tofauti na makazi ya watu!
Haya ukiacha hiyo kero ya adhana,Kuna mtaa Dsm,jirani na bungo!Kuna Kanisa la kilokole!
Hao jamaa Wana vyombo ni balaa,mziki mnene zikicharangwa gitaa hapo nyumbani hapakaliki!Na ibada zao ni asubuhi mpaka jioni!
Kwahiyo Jpili badala ya kupumzisha akili home nijiandaw Kwa mtanange wa J3,nalazimika kutoka kabisa nyumbani mpaka usiku!Na hapo Bado siku za katikati wanakuwaga na mazoezi ya kwaya!
Kiukweli inakera sana!
uMkuu kwanza Kwa mazingira yetu Africa,nchi zina hivyo vyote Kwa pamoja!Yaani uzinzi,ulevi na makelele hayo ya Nyumba za ibada!Huoni hapo tatizo ni kubwa zaidi!Nways pombe na uzinzi ni chaguo la mtu,dini pia ni chaguo la mtu!
Ndio maana hata bar za pombe zinatakiwa kufuata sheria juu ya kelele!Sema ndio utekelezaji haupo na ufuatiliaji hafifu!
Ukija kwenye stand,ndio maana zinapelekwa nje ya miji,Mojawapo ya sababu ni kelele za honi za magari!
Teknolojia ilivyokuwa,unaweza ukarecord tu hiyo adhana Yako kwenye simu na kuiset kama alarm kila saa 11 na maisha yakaendelea!H
Sasa hizo compromise wanazoamua kufanya isije ikaonekana ni haki!Inatakiwa ieleweke it's just a favour na muda wowote inaweza kuondolewa iwapo mazingira yatalazimisha hivyo!u
Katika jamii compromise ni jambbo la muhimu sana hasa katika mambo ya imani.
Katika uisilamu kuna vitu vyenye mbadala na visivyo na mbadala, mfano Adhana haina mbadala kwamba watu watumie Alarm nk, kwani kutoa adhana yenyewe live mtoaji anapata thawabu na msikilzaji naye anapata thawabu kwani kila neno katika adhana linayo dua ambayo msikilizaji anatakiwa asome naye kwa kusoma huko anapata thawabu, sasa unaona kazi hiyo!!!..
Ni makubaliano tu ya jamii husika ndio suluhu katika mambo kama hayo na mengineyo ya miithili hiyo vinginevyo ni hatari katika jamii hususan katika masuala ya kiimani.
It is a compromize in this case which usher in peace, tolerance and harmony in a society and not the otherwise, that is a rational.
Sasa hizo compromise wanazoamua kufanya isije ikaonekana ni haki!Inatakiwa ieleweke it's just a favour na muda wowote inaweza kuondolewa iwapo mazingira yatalazimisha hivyo!
Kwahiyo Rwanda nako Kuna KARIAKOO? Adhana zimepigwa marufuku Rwanda na Wala sio Tanzania. Walipokuwa wanafunga makanisa zaidi ya 700 ulikuwa wapi? Paul Kagame Wala Sio Mdini,si wakristo Wala Waislamu ambao wanahamu naye. Yeye NYEUSI Ni NYEUSI.ukipita kariakoo kila duka lina spika inazungumza kwa kelele kuita watu waje kununua bidhaa zao ni kelele kila duka hiyo hawaioni
Wana ajenda nyengine,adhana ina ladha ya kusikilizwa hata kwa asiyekuwa muislamu.Kwa viumbe vyote ni ushahidi wa kuelekezwa kwenye ibada kabla siku ya mwisho kuwadia.Hivyo adhana inaacha ushahidi hata kwa Kagaame kuwa aliisikia na akashindwa kufuatilia maana hivyo aswekwe kwenye jahannam kwa nguvu na bila huruma.Kitu cha dakika moja sidhani kama ni kero kiasi hicho.Kama ishu ni kelele vipo vizalisha kelele vingi tena kwa mda mrefu tu.
Mimi Hawa watu dawa yao nimeshaipata. Mimi Nyumba yangu ilipo hakukuwa na Kanisa Wala Msikiti kwahiyo kulikuwa Shwari kabisa. Sasa mwaka Jana Kuna walokole hawazidi hata 20 wameanzisha Kanisa lao pembeni ya Nyumba yangu. Wamefunga kipaza sauti Ikifika jioni mida ya kulala wanaanza mahubiri yao kwenye kipaza sauti,yaani hakuna kulala. Alfajiri napo Ni hivyo hivyo. Nilipowalalamikia wakaniita eti Mimi Ni Mpinga Kristo niliamua kukaa Kimya.Kero ni nyingi na kila siku zinaendelea kutatuliwa!
Kungekuwa na upangaji mzuri wa miji,hii kero isingekuwepo!Nyumba za ibada zingetengewa maeneo tofauti na makazi ya watu!
Haya ukiacha hiyo kero ya adhana,Kuna mtaa Dsm,jirani na bungo!Kuna Kanisa la kilokole!
Hao jamaa Wana vyombo ni balaa,mziki mnene zikicharangwa gitaa hapo nyumbani hapakaliki!Na ibada zao ni asubuhi mpaka jioni!
Kwahiyo Jpili badala ya kupumzisha akili home nijiandaw Kwa mtanange wa J3,nalazimika kutoka kabisa nyumbani mpaka usiku!Na hapo Bado siku za katikati wanakuwaga na mazoezi ya kwaya!
Kiukweli inakera sana!