Mkuu kwanza Kwa mazingira yetu Africa,nchi zina hivyo vyote Kwa pamoja!Yaani uzinzi,ulevi na makelele hayo ya Nyumba za ibada!Huoni hapo tatizo ni kubwa zaidi!Nways pombe na uzinzi ni chaguo la mtu,dini pia ni chaguo la mtu!
Ndio maana hata bar za pombe zinatakiwa kufuata sheria juu ya kelele!Sema ndio utekelezaji haupo na ufuatiliaji hafifu!
Ukija kwenye stand,ndio maana zinapelekwa nje ya miji,Mojawapo ya sababu ni kelele za honi za magari!
Teknolojia ilivyokuwa,unaweza ukarecord tu hiyo adhana Yako kwenye simu na kuiset kama alarm kila saa 11 na maisha yakaendelea!H