Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Hata Wakristo kupiga muziki na matumizi ya vipaza sauti ambavyo vinapeleka sauti mbali kwa watu ambao siyo sehemu ya hadhara iliyopo, siyo uungwana. Lakini afadhali hayo yafanyike mchana kuliko kuamsha watu saa 10 usiku tena kwa maneno jeuri kabisa, "amka, amka, amka... kumekucha".
Sio kila kitu cha kuiga, wakipiga marufuku adhana wasisahau na utitiri wa makanisa yanayopiga mziki weekdays kwenye makazi ya watu tena kwa maspka
 
Aisee hatari sana mambo ya imani😂
 
Kuna makanisa yanafanya amzoezi ya kwaya mpaka saa nne. Kuna mikesha na tena yako maeneo ya makazi
 
Rwanda wamepiga marufuku vyote hivyo. Ukute hata masuala ya mashindano ya dini au matamasha ya kwaya uwanjani kama kwa mkapa isingewezekana huko
Sio kila kitu cha kuiga, wakipiga marufuku adhana wasisahau na utitiri wa makanisa yanayopiga mziki weekdays kwenye makazi ya watu tena kwa maspka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…