Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Qu raan imeanza mwaka 600+AD, umeambiwa hayo mambo ya ADHANA yameanza mwaka 1930 tena huko Asia; so kama ni sheria ya Kiislamu ni kwamba unataka kutwambia sheria za kiislamu zinakuaga edited? Is that what you mean? Cause uislamu umeanza kabla ya tecknolojia ya micrphone na loud speakers havijagunduliwa!Vyote maana vinapingana na sheria za kiislamu.
Watu kama nyie ndio mnawapaga points kina Kilanga kusema kwamba HAKUNA Mungu