Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Kama kingereza kinaoanda ingia hapa sikiliza alafu njoo toa mrejesho , ni kwamba haujui nature ya mungu wako Allah

Waliotengeneza hiyo video wameacha hii aya
......لَيْسَ كَمِثْلِهِ شَيْءٌ وَهُوَ السَّمِيعُ الْبَصِير.(42:11)

Maana hilo umbile walilolitengeneza linafanana na mwanaadamu.
 
Mpaka uelewe tofauti ndio nikujibu?

Jibril alikuwa anaitumia mwili wa dihyah al-kalbi alikuwa akimaliza kuutumia anaurudisha kwa kalbi au? Je jibril mda wote yupo na mwili wa kalbi alikuwa anakunya?

.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
Wrong!
Malaika Jibril allaihi ssalaam hakuwa anautumia mwili wa Dahyah al-kalbi, alikuwa anakuja kwa sura ya Dahyah al-kalbi hivyo jibril anakuwa katika mwili wake lakini amejibadilisha kama Dahyah al-kalbi.

Labda utaniuliza wakati huo Dahyah al-kalbi anakuwa wapi? maana kungekuwa na watu wawili wanaofanana.

Miongoni mwa sababu za malaika jibril alayhi ssalaam kutumia sura ya Dahyah al-kalbi ni kwa sababu Dahyah al-kalbi alikuwa ni mwingi wa safari, ndio maana alipokuwa akija hakukuwa na contradiction, na hata maswahaba hawakuwa waki notice mpaka mtume Muhammad swallallahu allaihi wasallam awaambie kuwa yule ni fulani.

Na sio nyakati zote alikuwa akija kwa sura hiyo.
 
Kwa hiyo sura tu au na mwili ni WA kalbi?

Kumbuka jamaa kalbi alikuwa mrembo sana
 
Waliotengeneza hiyo video wameacha hii aya
......لَيْسَ كَمِثْلِهِ شَيْءٌ وَهُوَ السَّمِيعُ الْبَصِير.(42:11)

Maana hilo umbile walilolitengeneza linafanana na mwanaadamu.
Allah anasema anamaumbo mbali mbali na anayabadili , ila siku ya mwisho mtakataa umbo lake jipya, je mlisha wahi kuliona la sasa mpaka akija new shape muikatae?
 
Kwa hiyo sura tu au na mwili ni WA kalbi?

Kumbuka jamaa kalbi alikuwa mrembo sana
Kitu gani ambacho hujaekewa hapo, mbona maelezo yangu yamenyooka.

Inamaana kwa maelezo ni kwamba situation hii ndio kama situation ya yesu exactly?
 
Allah anasema anamaumbo mbali mbali na anayabadili , ila siku ya mwisho mtakataa umbo lake jipya, je mlisha wahi kuliona la sasa mpaka akija new shape muikatae?
هذا الكلام من وين؟
 
Kitu gani ambacho hujaekewa hapo, mbona maelezo yangu yamenyooka.

Inamaana kwa maelezo ni kwamba situation hii ndio kama situation ya yesu exactly?
Wewe unagoma kwamba jibril akuvaa mwili wa kalbi, kwa nini hakuvaa mwili Aisha ?
 
هذا الكلام من وين؟
Nipo hapa kuwapa elimu ambayo mmenyimwa madrasa

Hadith Sahih al-Bukhari 6573 ......Allah will come to them in a shape other than they know and will say 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you ...... ,Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord.

mlisha wahi kuiona shape ya Allah wapi?
 
Mpaka uelewe tofauti ndio nikujibu?

Jibril alikuwa anaitumia mwili wa dihyah al-kalbi alikuwa akimaliza kuutumia anaurudisha kwa kalbi au? Je jibril mda wote yupo na mwili wa kalbi alikuwa anakunya?

.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
jibu swali, Je Mungu Yesu alikuwa bwabwa,kafa ana miaka 30 lakini alikuwa bado hajaowa, jambo ambalo sio la kawaida kwa mwanamme kwa enzi hizo
 
Hahaha 😂😂 nacheka sana ,
Ulipotea kwa mda , umeshafundishwa mungu wako Allah sio spirit?
Acha kushashifu imani za watu na yako itakashifiwa..

Bado hujacheka kuna mengi huyafahamu kuhusu Mungu Yesu
 
Nipo hapa kuwapa elimu ambayo mmenyimwa madrasa

Hadith Sahih al-Bukhari 6573 ......Allah will come to them in a shape other than they know and will say 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you ...... ,Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord.

mlisha wahi kuiona shape ya Allah wapi?
Mbona unajipa ujiko ambao haupo kwani sahihi Bukhari inafundishwa kanisani?

Hiyo hadithi mbona inafahamika kuwa ipo kwenye sahihi Bukhari, halafu umeileta kipande hebu ilete yote.

Kama unaelewa kiarabu ilete kwa kiarabu, ila kama hujui usijilazimishe ilete tu hata kwa kiswahili.
 
Hakuna mahali nimekashifu , unataka kusema maandiko Yako nakuwekea ni kashfa?
Aya na Hadithi za Kiislam ziko sahihi,matatizo yako unaweka tafsiri unavyotaka wewe,unavyofahamu wewe,wenye dini yetu tukijaribu kukufahamisha,hufahamishiki..

Mchungaji kila kilichomo kwenye Uislam kina maana kwa Binadamu..

tatizo sisi wenyewe Waislam hatuijui dini yetu,mfano ni hii hoja ya Adhana..

kuna hoja kwanini Waislam wanaowa wake wanne,wengi wa wailamu ukiwauliza swali hili hawajui nini wajibu
 
Back
Top Bottom