Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,356
- 2,342
Waliotengeneza hiyo video wameacha hii ayaKama kingereza kinaoanda ingia hapa sikiliza alafu njoo toa mrejesho , ni kwamba haujui nature ya mungu wako Allah
......لَيْسَ كَمِثْلِهِ شَيْءٌ وَهُوَ السَّمِيعُ الْبَصِير.(42:11)
Maana hilo umbile walilolitengeneza linafanana na mwanaadamu.