Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Vyote maana vinapingana na sheria za kiislamu.
Qu raan imeanza mwaka 600+AD, umeambiwa hayo mambo ya ADHANA yameanza mwaka 1930 tena huko Asia; so kama ni sheria ya Kiislamu ni kwamba unataka kutwambia sheria za kiislamu zinakuaga edited? Is that what you mean? Cause uislamu umeanza kabla ya tecknolojia ya micrphone na loud speakers havijagunduliwa!
Watu kama nyie ndio mnawapaga points kina Kilanga kusema kwamba HAKUNA Mungu
 
Qur'an ni muujiza tangu kushuka kwake mpaka mwisho wa dunia.Kama ni mashairi ,washairi wote wa enzi hizo waliinua mikono.Na kama ni mayahudi Qur'an ina mambo ambayo wayahudi hawakupata kuyasikia kabla na yapo mengi wameyeajua baadae ambayo yamo kwenye Qur'an na kuna mengi ambayo hata sisi wenyewe tunayasoma na hatujajuwa maana zake.Tunayaheshimu na yatabaki hivyo.Kwa sababu yapo mengi yalikuwa hivyo tumeyajua sasa.Qur'an inazungumzia makuzi ya mimba sawa na wanavyojuwa madaktari bingwa leo na Muhammad s.a.w hakuwahi kuwa na kifaa cha Ultra sound
Qur'an inazungumzia historia ya mbali tangu dunia ilivyoanza na inazungumzia mambo ya anga ambapo Muhammad s.a.w hakuwahi kuwa na darubini.
 
Wewe bora ukak..halafu ukalale,Umejiunga na mjadala bila kusoma hoja za wenzio.Kwa kauli yako hii hata huyu mhuni Mokiti anakuona umechelewa.Yeye anajuwa kuwa wakati wa Muhammada s.a.w adhana ilikuwepo na Bilal alikuwa ndiye muadhini wa mwanzo katika Uislamu.
 
Koran ni kakitabu kadogo mno kana sura kama 100 tu , na kuja mda nasoma huwa nakacheka Sana maana ni vituko,
Siafu kaongea , mara ndege HUD HUD anaongea , majini yanaongea
 
Koran ni kakitabu kadogo mno kana sura kama 100 tu , na kuja mda nasoma huwa nakacheka Sana maana ni vituko,
Siafu kaongea , mara ndege HUD HUD anaongea , majini yanaongea
Huu udogo wake halafu ikawa imesheheni matamko ya ajabu ndio muujiza wake.
 
Koran ni kakitabu kadogo mno kana sura kama 100 tu , na kuja mda nasoma huwa nakacheka Sana maana ni vituko,
Siafu kaongea , mara ndege HUD HUD anaongea , majini yanaongea
Kweli inaisoma Qur'an wewe. Nikuulize maswali halafu ujibu haraka kabla hujafungua google.Uko tayari.Naona uko online pamoja na mimi.Kwa sababu kwa maneno yako huwa unaisoma mara kwa mara halafu unafahamu sana mpaka unacheka
 
Huu udogo wake halafu ikawa imesheheni matamko ya ajabu ndio muujiza wake.
Allah kasema hakuna muujiza kwa Muhammad maana amezuia miujiza , wewe nani unamrekebisha ?

Yani Koran ikija kwa bible inakuwa ni ile index , Yani pale panaposema yaliyomo
 
Huu udogo wake halafu ikawa imesheheni matamko ya ajabu ndio muujiza wake.
Nilitaka tuchat kuhusu Qur'an hapa hapa.Nimekusubiri muda hujatokea.Itakuwa umekimbia na mimi naondoka.
 
Allah kasema hakuna muujiza kwa Muhammad maana amezuia miujiza , wewe nani unamrekebisha ?

Yani Koran ikija kwa bible inakuwa ni ile index , Yani pale panaposema yaliyomo
Wapi imeandikwa hiyo kwenye Qur'an.
 
Muhammad alikuwa hajui kusoma wala kuandika..

Ilivyo kusanywa Quran ndio hivyo ilivyokisanywa Injili

Yaani Muhammad alikuwa anahubiri walioandika wanaandika walio hifandhi wanahifandhi,hivyo hivyo ndivyo alivyofanya Isa aka Yesu
 
Jibu maswali kwanza..

Je mungu Yesu hakukatwa govi akiwa na siku nane baada ya kuzaliwa?

Je Mungu Yesu hakukaa tumboni kwa Maryam kwa muda wa miezi Tisa

Je Mungu YESU hakuuliwa na Binaadamu,alishindwa kutumia nguvu za Uungu wake kujiokoa

Je Mungu YESU hakumuomba Allah amuokoe wakati yuko msalabani

jibu hayo maswali ...Ramadhan Karim
 
Muhammad alikuwa hajui kusoma wala kuandika..

Ilivyo kusanywa Quran ndio hivyo ilivyokisanywa Injili

Yaani Muhammad alikuwa anahubiri walioandika wanaandika walio hifandhi wanahifandhi,hivyo hivyo ndivyo alivyofanya Isa aka Yesu
Anae wafundisha dini yenu anawadanganya Sana , nani ka kwambia muhammad alikuwa hajui kusoma na kuandika?
Baada ya Muhammad kulishwa sumu tunamuona hapa anaomba apewa sehemu ya kuandikia aandike , jamaa wakamkatalia maana walishamuona anakaribia kukata moto

Ibn `Abbas said, "When Muhammad (ﷺ) was on his deathbed and there were some men in the house, he said, 'Come near, I will write for you something after which you will not go astray.' Some of them ( i.e. his companions) said, 'Allah's Messenger (ﷺ) is seriously ill and you have the (Holy) Qur'an. Allah's Book is sufficient for us.' So the people in the house differed and started disputing. Some of them said, 'Give him writing material so that he may write for you something after which you will not go astray.' while the others said the other way round. So when their talk and differences increased, Muhammad said, "Get up." Ibn `Abbas used to say, "No doubt, it was very unfortunate that Muhammad was prevented from writing for them that writing because of their differences and noise." Sahih al-Bukhari 4432
 
Nitakujibu , mapaka kwanza useme umeelewa tofauti ya nature ya Allah na Jehovah,
Allah - physical being
Jehovah - spirit

Ukisha sema umeelewa Kuna utofauti ndio nakujibu
 
Kama hutojali unaweza kurejea kusoma komenti yangu no:805.

Ambacho hakikuwepo ni vipaza sauti, lakini adhana ilikuwepo na ilikuwa na tuaratibu maalumu kwa mujibu wa sheria za kiislamu.

Sasa nikuulize, sehemu ya muadhini tuiweke alarm kama unavyosema, hapo tutakuwa tumeiupdate sheria au tumebadilisha misingi ya sheria?

Na ikiwa kuna muadhini, ila anatumia vipaza sauti ili adhana iwafikie waumini vizuri, hapo tunakuwa tumeedit sheria au tumehakikisha makusudia ya sheria yamefikiwa pasi na kuvunja misingi?

Maendeleo ya teknolojia ni nyenzo na sio sababu ya kubadili sheria, maana tukifanya hivyo tutajikuta tumeunda uislamu mpya ambao sio ule aliyokujanao mtume Muhammad swallallahu allaihi wasallam.
 
maana ukifanya hivyo tutajikuta tumeunda uislamu mpya ambao sio ule aliyokujanao mtume Muhammad swallallahu allaihi wasallam.
Ivi Muhammad alirusu mziki kama kaswida, aliruhusu kupiga picha?

Je mnamuiga Muhammad kama vile kuchamba kwa kutumia mawe?
 
Leo hii kutokana na maendeleo ya teknolojia watu wanaenda hijjah kwa ndege, ambazo hazikuwe kipindi cha Mtume swallallahu allaihi wasallam.

Sasa ikitokea serikali imezuia waislamu kutumia ndege kwenda hijjah, basi tunyamaze na tuseme hakuna shida hizo ndege wala hazikuwepo kipindi cha Mtume, hivyo watu waende kwa njia za chini.

Hivi unajua utakuwa umeongeza mzigo na mshaka kiasi gani kwa waislamu kwenda hija?

Kuna kitu kinaitwa njia(wasila) na lengo(makusudio)

Huwenda bado hujaona ni ugumu na mashaka kiasi gani yatapatikana endapo tutasema watu watumie alarm badala ya adhana kutolewa msikitini lakini........
 
Ni kwa nini mnaenda kubusu jiwe?
 
Ivi Muhammad alirusu mziki kama kaswida, aliruhusu kupiga picha?

Je mnamuiga Muhammad kama vile kuchamba kwa kutumia mawe?
موكيتي، ما زلت معاي؟ ألست أنت الذي تفسر النصوص؟
لي ما تعرف المسألة دي؟
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…