Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Walikubaliana na Allah mambo 3
Umar alikuwa anataja kitu Allah anamkubalia anaweka verse kwenye Koran
Inamaana walikuwa wanafanya kikao kubaliana au walikuwa wanakubaliana vipi?
 
Yaani hata hujui kumbambikia mtu, unamitego ya kitoto.
Ili tumemaliza umeshasema Aya ni maneno ya Allah , kwa hiyo kwenye Koran inatakiwa ukaondoe neno shetani uweke Allah

Koran 7:16. Shetani akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.
 
Inamaana walikuwa wanafanya kikao kubaliana au walikuwa wanakubaliana vipi?
Haijulikani , ila nachoweza kusema Muhammad alikuwa akipenda idea za Umar anapachika kwenye Koran , mpaka ikafika mahali Muhammad akasema kama ingekuwa Kuna mtume baada yake basi angekuwa Umar
 
Acha kupotosha Qur'an haina maneno wala idea ya binadamu yeyote sio Umar wala Mohammad mwenyewe! mambo ambayo Muhammad aliyachagiza na issue ambazo haziko kwenye Qur'an ni hadithi zake! kama una chuki na Uislam endelea na chuki zako lakini usizushe uongo ili upate "credit" hapa JF! heshimu imani za wenzako!
 
Mnapopotosha Mimi naweka ukweli tu
Aya tatu hizi zimeanzia kwa Umar

Umar said: I agreed with my Lord on three matters, I said: O Messenger of Allah (ﷺ) , why don't we take the Maqam of Ibraheem as a place of prayer? Then the verse was revealed: And take you(people) the Maqam (place) of Ibraheem (Abraham) [ or the stone on which Ibraheem (Abraham) stood while he was building the Kabah]as a place of prayer [al Baqarah 2:125]. And I said: O Messenger of Allah (ﷺ) , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. And the wives of the Messenger of Allah ﷺ got together as a result of the jealousy between them, and I said to them. It may be if he divorced you(all) that his lord will give him instead of you, wives better than you[at Tahreem 66:5], and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
 
Ningekushauri usitafute Qur'an kwenye google tafuta ktabu halisi usome...hiyo aya 125 katika surat Baqara wala haisomeki kama ulivyoandika japo kweli inahusu Ka'bah inasomeka hivi " we made the house (Ka'abah) the place of congregation and safe retreat, make the spot where Abraham stood the place of worship/ and enjoined upon Abraham and Ishmael to keep our house immaculate for those who shall walk around it and stay in it for contemplation and prayer, and for bowing in adoration. Aya na sura zote kwenye qur'an alikuwa akishushiwa Muhammad! Nimeona umenakiri kutoka katika makusanyo ya hadithi za Musnad Ahmand ambazo zimekusanywa na Imam Hanbal.....nyingi ya hadithi hizo sio Sahih...narudia tena usijifunze toka Google mkuu!
 
Haijulikani
Sema hujui na hapa ndipo ujinga wako unapoamzia.

Sasa kama hijui maana halisi ya hilo neno katika hiyo hadhithi uliyoitaja, ilikuwaje ukaja na conclusion kuwa Umar ametunga baadhi ya aya za quran.

Maana hakuna uhusiano, baina ya kukubaliana na kutunga, sasa utasemaje ameitunga wakati hujui walikubaliana vipi?

Hivyo nenda kasome tena uje utuambie walikuwa wanakubaliana vipi?

Ujinga unamadhara.
 
Ukweli unauma naona mmeitana kurusha mapovu

Umar katunga jambo Allah ka copy kama lilivyo kaweka Kwenye Koran na ushahidi mmeandika wenyewe
 
Ili tumemaliza umeshasema Aya ni maneno ya Allah , kwa hiyo kwenye Koran inatakiwa ukaondoe neno shetani uweke Allah

Koran 7:16. Shetani akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.
Wala sina haja ya kufanya hivyo, ngoja nikrahisishie.

QURAN YOOTE, NA MANENO YAKE NA HERUFI ZAKE, NI MANENO YA ALLAH SUBHAANAHU WATAA'LA.

NA WALA SIPINGI HATA HERUFI MOJA KUWA NI MANENO YAKE.
 
Ningekushauri usitafute Qur'an kwenye google tafuta ktabu halisi usome...hiyo aya 125 katika surat Baqara wala haisomeki kama ulivyoandika japo kweli inahusu Ka'bah inasomeka hivi " we made the house (Ka'abah) the place of congregation and safe retreat, make the spot where Abraham stood the place of worship/ and enjoined upon Abraham and Ishmael to keep our house immaculate for those who shall walk around it and stay in it for contemplation and prayer, and for bowing in adoration. Aya na sura zote kwenye qur'an alikuwa akishushiwa Muhammad! Nimeona umenakiri kutoka katika makusanyo ya hadithi za Musnad Ahmand ambazo zimekusanywa na Imam Hanbal.....nyingi ya hadithi hizo sio Sahih...narudia tena usijifunze toka Google mkuu!
Kwani hicho sio kitabu halisi , ingia hapa kawaamshie waambie waislamu wenzanko waache kudanganya , na uwaulize kwa nini wanaita Hadith sahih wakati wewe unasema ni sio sahih

Ningekushauri usitafute Qur'an kwenye google tafuta ktabu halisi usome...hiyo aya 125 katika surat Baqara wala haisomeki kama ulivyoandika japo kweli inahusu Ka'bah inasomeka hivi " we made the house (Ka'abah) the place of congregation and safe retreat, make the spot where Abraham stood the place of worship/ and enjoined upon Abraham and Ishmael to keep our house immaculate for those who shall walk around it and stay in it for contemplation and prayer, and for bowing in adoration. Aya na sura zote kwenye qur'an alikuwa akishushiwa Muhammad! Nimeona umenakiri kutoka katika makusanyo ya hadithi za Musnad Ahmand ambazo zimekusanywa na Imam Hanbal.....nyingi ya hadithi hizo sio Sahih...narudia tena usijifunze toka Google mkuu!
Tatizo la huyu jamaa, sio tu anaweza kunukuu hadhithi dhaifu.

Bali huwa analazimisha mafuhum ambayo hayapo.
 
Acheni uongo , Yani Uislamu bila uongo hauendi , Hadith ni sahih
Acheni upuuzi ingia hapa soma grade

Wala sina haja ya kufanya hivyo, ngoja nikrahisishie.

QURAN YOOTE, NA MANENO YAKE NA HERUFI ZAKE, NI MANENO YA ALLAH SUBHAANAHU WATAA'LA.

NA WALA SIPINGI HATA HERUFI MOJA KUWA NI MANENO YAKE.
Yani majini yaongee wewe unasema ni maneno ya Allah

Q72:1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.

Kuna sehemu Allah anaongea na kunasehemu anaweka maneno yaliyoongewa na majini , shetani , siafu n.k
 
Sawa.

Kwa ufahamu wako huu, mimi nitakuwa nikikuita Abuu jahal.

Maana unalifanya ujinga wako, kuwa ndio elimu.

Yaani kitu umekili hujui halafu unalazimisha kitafsiri kwa ujinga wako.

Mokiti= Abuu jahal
Hadith ni sahih , embu mchezo wa dhaif na sahih ufe na mjibu kwa nini Umar alikuwa anaanzisha jambo ndio linakuja kuwekwa Kwenye Koran
 
Nimewacheka Hadith ni sahih
Acheni janjajanja [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwawezi hao jamaa zao na Majini.
Ukinukuu hadithi inayowaumbua wanaikataa kabisa.

Ukinukuu Aya inayo waumbua watakimbilia kwenye fasili ya lugha ya Kiarabu ilhali wameitafsiri wenywewe.

Bila (kuongopa)Taqqiya Uislamu unakufa.

Kuna hadithi, Muhammadi alikutwa anamnyonya kijana wa Kiume Ulimi.

Alipofumaniwa na kuulizwa akajibu kila mtu anayemnyonya ulimi ni lazima afike peponi kwa Allah.

Ukiwabandikia hiyo hadithi wataruka mita mia na kukimbilia kwenye Lugha ya Kiarabu.
 
Nimewacheka Hadith ni sahih
Acheni janjajanja 😂 😂 😂
Mokiti....hadith sahih kwa Uislam sio hizo za Iman Hanbal, hadith sahih unazipata kutoka kwa Imam Buhar au Imam Muslim, au kwa umoja wake kuna kitabu kinaitwa Sahih Bukhar and Muslim soma hicho kama utakutana na hadith hizo za kwenye Google,..nakuelewa ni chuki yako juu ya Uislam ndio unakufanya uchague cha kuandika....na kukashifu Imani za wenzio...Pole sana... ukipunguza chuki utaelewa
 
Huwawezi hao jamaa zao na Majini.
Ukinukuu hadithi inayowaumbua wanaikataa kabisa.

Ukinukuu Aya inayo waumbua watakimbilia kwenye fasili ya lugha ya Kiarabu ilhali wameitafsiri wenywewe.

Bila (kuongopa)Taqqiya Uislamu unakufa.

Kuna hadithi, Muhammadi alikutwa anamnyonya kijana wa Kiume Ulimi.

Alipofumaniwa na kuulizwa akajibu kila mtu anayemnyonya ulimi ni lazima afike peponi kwa Allah.

Ukiwabandikia hiyo hadithi wataruka mita mia na kukimbilia kwenye Lugha ya Kiarabu.
Mkuu si kweli kuwa hiyo hadithi inaumbua waislam ni kama ilivyo kuna machapisho mengi tu mtandaoni yakieleza Injili ya Mary sijui na nini ili tu kuonesha kuwa Yesu aliowa na yalioandikwa kwenye Biblia si kweli....tukijenga sana imani kwa kila tunachopata mtandaoni bila kujiongezea marrifa zaidi tunapotoka! siko kila uambiwalo ni sahihi...ila linakuwa sahihi kama tu ndio unalotaka kusikia kwa sababu zako mwenyewe
 
Mokiti....hadith sahih kwa Uislam sio hizo za Iman Hanbal, hadith sahih unazipata kutoka kwa Imam Buhar au Imam Muslim, au kwa umoja wake kuna kitabu kinaitwa Sahih Bukhar and Muslim soma hicho kama utakutana na hadith hizo za kwenye Google,..nakuelewa ni chuki yako juu ya Uislam ndio unakufanya uchague cha kuandika....na kukashifu Imani za wenzio...Pole sana... ukipunguza chuki utaelewa
Nakupiga na kitu kizito na chenye ncha , iwe fundisho kwako na Msonjo

Sasa mjibu kwa nini Umar mapendekezo yake ma 3 yaliingizwa kwenye Koran , mambo ya dhaif na sahih weka pembeni

Sahih al-Bukhari 402
My Lord agreed with me in three things: -1. I said, "O Allah's Messenger (ﷺ), I wish we took the station of Abraham as our praying place (for some of our prayers). So came the Divine Inspiration: And take you (people) the station of Abraham as a place of prayer (for some of your prayers e.g. two rak`at of Tawaf of Ka`ba)". (2.125) -2. And as regards the (verse of) the veiling of the women, I said, 'O Allah's Messenger (ﷺ)! I wish you ordered your wives to cover themselves from the men because good and bad ones talk to them.' So the verse of the veiling of the women was revealed. -3. Once the wives of the Prophet (ﷺ) made a united front against the Prophet (ﷺ) and I said to them, 'It may be if he (the Prophet) divorced you, (all) that his Lord (Allah) will give him instead of you wives better than you.' So verse the same as I said was revealed." (66.5).
 
Back
Top Bottom