Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Mada kama hii ya "Adhana" ilimfukuzisha kazi Dada mmoja maarufu tu huko Twitter baada ya kukaa kwenye kipindi cha Televisheni alichokua akiendesha aka support hoja ya 'Mgeni Mualikwa' baada ya Mgeni kusema kwamba 'Adhana' ni Noise pollution!.

Kipindi kikaisha saa 07:50, sijui wale jamaa wa Bakwata walitokea wapi..wakatwanga simu moja kwa 'Mmiliki' ...ndani ya Dakika chache walimiminika wale jamaa kwenye viunga vya studio wakitaka ufafanuzi wa hoja zilizoungwa mkono na 'Presenter'.

Flashback hiyo! Zamani kidogo imetokea..na Huyo Dada alirudi kwenye runinga baada kama ya 7 yrs hivi! [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mada korofi sana hizi!
Kwan n Nan huyo usimtaje tu
 
Naomba nikukumbushe mada: RWANDA wamepiga marufuku "adhana" al-fajiri
Soma kwa nini tunefikia hapo , Cha muhimu umethibitisha tayari Umar nae alikuwa mtume na alikuwa anapokea Koran pia
 
Yaani nilikuwa nahangaika kumuamsha mtu anayejifanya amelala[emoji23][emoji23][emoji23] asikwambie mtu ni kipengele.

Halafu anajifanya anakoroma kabisa[emoji1787]
Wewe baba Yako ni Shetani kama alivyo sema Yesu , kwenu hakuna kweli kabisa
Full uongo, na nakuakikishia Uislamu bila uongo unakufa
 
Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.

Hii ni Taharifa ya BBC...

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo.

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu.
===

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

"Uamuzi huo ulikiuka haki zetu za kutekeleza imani yetu," anasema Zaina Mukamabano mwenye umri wa miaka 55 ambaye anaishi katika mji mkuu, Kigali.

Anasema ni mara ya kwanza katika maisha yake kuwa hakuna wito wa maombi, au "adhan", asubuhi wakati wa Ramadhani.

Zoezi la kupachika vipaza sauti kwenye minara kwenye misikiti lilianza huko Asia katika miaka ya 1930 na kuenea kote ulimwenguni. Wito tano hutolewa kwa siku, kuwaita waumini kwa sala zao tano za kila siku.

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu.

"Hatuna furaha ... wakati wa Ramadhani ni adhana ambayo inatuambia kuwa ni wakati wa kuanza kufunga, na sio Waislamu wote nchini Rwanda wana saa za kengele," anasema mkazi mwingine, Nuhu Bihibindi.

Bi Mukamabano anasema serikali ingeweza kuiambia misikiti kupunguza tu sauti, "kama wanavyowaambia mabaa kupunguza sauti ya muziki wao".

“Adhana ni utamaduni wetu, ni imani yetu, kuipiga marufuku ni kuwakera Waislamu, kutokuwa nayo wakati wa Ramadhani kunatia uchungu zaidi,” anasema.

Mkazi mwingine wa Kigali, Issa Karim Mugabo, anasema yeye na wengine sasa wanafikiria kupeleka serikali mahakamani.

Lakini Sheikh Souleiman Mbarushimana, mshauri wa mufti wa Rwanda, na mwanazuoni wa Kiislamu, anasema viongozi wa Kiislamu tayari wamelijadili suala hilo na serikali na kukubaliana juu ya uamuzi huo.

"Waislamu wanasema haki yao ya imani ilikiukwa ... lakini mamlaka imetuambia (Adhana)] imepigwa marufuku kwa manufaa ya wote," Bw Mbarushimana anasema.

"Tulisema kwamba lazima tukubaliane na kuendelea, kwa sababu imani yetu pia inatutaka kuheshimu uamuzi wa mamlaka."

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Jaribuni kuiga muone cha moto!
 
Jaribuni kuiga muone cha moto!
Msimtishe yeyote.
Msfikiri tutawadekeza siku zote.

Tambua kuwa Duniani kote Mkristo ana nguvu kuliko Mwislamu.

Sema Wakristo huwa hatulipuki kijingajinga.
Chokozeni moto uwawakie.

Bwana Yesu alisha wafahamu siku nyingi sana akatukabidhi Upanga wenye makali kuwili.

Luka 22:36
"Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue"

Bila Wakristo kuwazidi nguvu Waislamu Mngesha tusilimisha kwa nguvu siku nyingi sana.
Au kutuchinja kwa jina la Allah.

Hilo tunalijua sana na tushachukua tahadhari muda mrefu.

Neno la Hekima.
 
Nikiwa kama Muislam safi siwezi kuacha kumcha Mungu kwa swala dogo kama hili, naweka alarm muda husika maisha yanaendelea maana Rwanda si nchi ya Kiislam wana uamuzi wa kufanya hivyo. Hata siku Tanzania wakiamua hivyo hakuna matata 😍
 
Nikiwa kama Muislam safi siwezi kuacha kumcha Mungu kwa swala dogo kama hili, naweka alarm muda husika maisha yanaendelea maana Rwanda si nchi ya Kiislam wana uamuzi wa kufanya hivyo. Hata siku Tanzania wakiamua hivyo hakuna matata [emoji7]
Wewe ndio muislamu muungwana haswa unafata imani yako pasipo kumbugudhi mwingine ni njia nzuri sana ya kuishi kwa utengamano.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Yaani nilikuwa nahangaika kumuamsha mtu anayejifanya amelala[emoji23][emoji23][emoji23] asikwambie mtu ni kipengele.

Halafu anajifanya anakoroma kabisa[emoji1787]
[emoji23]

Repel in a way that is best
 
Msimtishe yeyote.
Msfikiri tutawadekeza siku zote.

Tambua kuwa Duniani kote Mkristo ana nguvu kuliko Mwislamu.

Sema Wakristo huwa hatulipuki kijingajinga.
Chokozeni moto uwawakie.

Bwana Yesu alisha wafahamu siku nyingi sana akatukabidhi Upanga wenye makali kuwili.

Luka 22:36
"Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue"

Bila Wakristo kuwazidi nguvu Waislamu Mngesha tusilimisha kwa nguvu siku nyingi sana.
Au kutuchinja kwa jina la Allah.

Hilo tunalijua sana na tushachukua tahadhari muda mrefu.

Neno la Hekima.
It's gettin' worse in here
 
Can schedule the fight between you two, how 'bout that? #Che Mittoga vs Maulaga59
 
Back
Top Bottom