Rwanda wanachangamka kwa Kasi, Sisi tupo tu!

Kupata kibali kutua Heathrow Airport ni shughuli haswa
Halafu kuegesha tu malipo yake kwa siku ni balaa
Sasa jamaa kwa jeuri huwa linakaa hata wiki
Ila sijajua sababu
Huwa naiona imepaki Heathrow kila wakati sijui kwa sababu ya Gold za jirani
Sio mchezo, ila nafikiri sisi hatushindwi kwasababu ya parking London au Paris au Amsterdam. Fikra tu haziko sawa na sisi
 
Wazo zuri sana hili
 
Sisi tupo na Mama anaupiga mwingi.....
 
Kenya anapata wageni wengi kwa mwaka kuliko tanzania.unalijua hilo.Utalii wa dunia ya leo sio kua na mbuga tu.Utalii ni zaidi ya mbuga.kama huduma ni mbovu yule asiye na mbuga ila ana vivutio vyovyote na huduma nzuri atapata watalii wengi kuliko wewe usiyejishughulisha ukiwa na mind set kua una mbuga watakuja tu.
 
Master kama vile unachekesha kidogo.
Unafikiri mapato yako ya utalii yanaizidi Kenya?
Hivi huoni faida ya mtalii kutoka Kwake na kuja kwako moja kwa moja?
Achilia mbali mapato yatakayotokana na nauli! Mtu akija Kigali na kulala pale wakati anakuja Tz huko kwenye hiyo Serengeti na Ngorongoro na Kilimanjaro!! huoni kabisa faida yake?

Hivi unafikiri wakenya wanavyozusha kuwa Mlima Kilimanjaro na Olduvai iko kwao wanakosea na hakuna faida yoyote?

Tuamke kwa kweli
 
Matangazo kaka. Kuonekana Heathrow hata kwa saa moja kunaongeza points.... Marketing.
 
Sio mchezo, ila nafikiri sisi hatushindwi kwasababu ya parking London au Paris au Amsterdam. Fikra tu haziko sawa na sisi
Huwa nashangaa sana yaani wakati mwingine unajiuliza hivi
Nchi yetu haina think tanks ?
Au hata akili kidogo?
Kutua tunaweza sana ila nashangaa madege tunayo ila hata ubia na kampuni zingine hatutaki
First 90 minutes ni bure Heathrow baada ya hapo ni £52 kila dakika 15
 
Tanzania ndio nchi pekee Duniani waliofeli mashuleni na vyuoni ndio watumishi wa unma
 
Wamejua kutumia dhana PPP vyema kuliko maigizo tunayoigiza apa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…