Rwanda wanachangamka kwa Kasi, Sisi tupo tu!

Kwakuwa ndege tayari tunazo suala la kwenda paris inawezekana, ingekuwa je kama tusingekuwa nazo kabisa sijui ungeandika nini najaribu kuwaza.
 
Think tanks WA Taifa Ndio hao Makada na machawa wa Chama Cha Mazezeta (CCM) ambao wanaweza kutengeneza death squads za kuteka na kuua wapinzani ili kubakisha chama cha mazezeta Tanzania madarakani daima na si kuangalia future ya nchi , Una tegemea nini hapo ? , wachumia tumbo kila mahala , majitu yanawaza vyeo ,sifa , wizi na madaraka tu ,ndio nchi yako hii
 
Sahizi wabongo hawataki shirika lifufuke na hawataki wawekezaji. Ukijaribu tu kila mtu anapiga kelele unauza nchi. Hapo hapo wanasema kwanini wengine wanaendelea. Smh
Kitu cha kwanza kwanini hayo mashirikiano yali shindwa, na sasa yatawezaje kufanikiwa
 
Sahizi wabongo hawataki shirika lifufuke na hawataki wawekezaji. Ukijaribu tu kila mtu anapiga kelele unauza nchi. Hapo hapo wanasema kwanini wengine wanaendelea. Smh
Well said

Kwa ujumla sisi ni wachawi mnooo

Bahati mbaya tunajichawia wenyewe
 
Another waste of sperm,

Tofautisha siasa na uchumi
 
Hebu angalia hapa nilipo na hapo mlipo tofauti zake
Huku mmoja angepigwa na mayai
 
Kwakuwa ndege tayari tunazo suala la kwenda paris inawezekana, ingekuwa je kama tusingekuwa nazo kabisa sijui ungeandika nini najaribu kuwaza.
Endelea kuwaza
 
Hizi akili ni sawa na mtu kwa vile anakinyeo basi anaamini lazima ataenda choo tu. Sasa ukimuuliza unadhani nin kitamsababisha ndo anaanza kuwaza πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Masikitiko kwa kweli
 
Rwanda wanaiba madini Congo, sisi hatuibi, Rwanda wanaua watu Congo, maendeleo yao yananuka damu
Nakumbuka Kagame aliwahi kujibu hii shutuma kwa uwazi kabisa.

Alisema Rwanda, ni kama njia tu! wao hawahusiki wala hawafaidiki na chochote kwenye rasilimali zinaporwa DRC
 
Nyie sending mnasemaga ndege sinaendeshwa kwa hasara? Poa kuna wakati waponzani walihiyaji kiongozi atakayefanya mambo kama rais wa Rwanda ailipokuja wakamwita majina yote mabaya.
 
Kwakifupi hao wameamua kufanya udalali sasa tatizo liko wapi??
Acha wawapige watalii vya juu lakin watawaleta tu hapa hapa na sisi cheru kitalipwa. Ndio biashara zilivyo hakuna shida kabisaa
 
Mimi niko maeneo ya Slough mbona siioni imepaki muda mrefu huo? Huwa nazunguka kuanzia terminal 1-5
 
Mimi niko maeneo ya Slough mbona siioni imepaki muda mrefu huo? Huwa nazunguka kuanzia terminal 1-5
Nimecheka sana
Sasa mkuu unazunguka mdani wakati zimepaki nje
Pita Southern Perimeter Road kutokea Hatton X
Karibu na Hilton Garden Inn London Heathrow, ndio huwa ina park hapo
Sasa ukiitafuta ndani ya Heathrow utaishia kuwaona warundi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…