Rwanda wanachangamka kwa Kasi, Sisi tupo tu!

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,487
Reaction score
3,978
Wenzetu wanazidi kuchanja mbuga,

Na sasa wameanza kutumia fursa ya Vyanzo vyetu vya utalii kupiga pesa.

Rwanda Air kwasasa wana Direct flights kutoka baadhi ya Miji mikubwa Duniani to Kigali, then to JNIA and KIA.

Air Tanzania hawana mpango wowote, wacha majirani watusaidie.

Few to mention Rwanda Air wana Direct flight from Paris to Kigali then KIA/JNIA
London to Kigali then KIA/JNIA.

Na wako mbioni kutua na Zanzibar.

Air Tanzania wanapeleka Airbus na Boeing Songwe.
 
Wenzetu wanazidi kuchanja mbuga,

Na sasa wameanza kutumia fursa ya Vyanzo vyetu vya utalii kupiga pesa.

Rwanda Air kwasasa wana Direct flights kutoka baadhi ya Miji mikubwa Duniani to Kigali, then to JNIA and KIA.

Air Tanzania hawana mpango wowote, wacha majirani watusaidie.

Few to mention Rwanda Air wana Direct flight from Paris to Kigali
London to Kigali.

Lack of vision ni tatizo nchi hii, wenzetu wanakazana na mambo muhimu. Si tunapambana na politics
 
Ebu ona wanavyo jituma🤣
 
Attachments

  • IMG-20240829-WA0005.jpg
    IMG-20240829-WA0005.jpg
    146.1 KB · Views: 10
Wenzetu wanazidi kuchanja mbuga,

Na sasa wameanza kutumia fursa ya Vyanzo vyetu vya utalii kupiga pesa.

Rwanda Air kwasasa wana Direct flights kutoka baadhi ya Miji mikubwa Duniani to Kigali, then to JNIA and KIA.

Air Tanzania hawana mpango wowote, wacha majirani watusaidie.

Few to mention Rwanda Air wana Direct flight from Paris to Kigali
London to Kigali.

Air Tanzania wanapeleka Airbus na Boeing Songwe.
Upo sahihi but Tanzania itabaki kuwa na watalii kwani tulivyonavyo ni asilia sio vya kuundwa.

Tuna mapungufu lakini hakuna zaidi ya Tanzania kwa swala la utalii Afrika Mashariki na Kati. Watalii watakuja tu

Serengeti Ngorongoro Mt Kilimanjaro etc vyapatikana Tanzania tu sio Rwanda Burundi Kenya Uganda etc.

Bado ni washindi wa utalii wengine wanalazimisha.
 
Wenzetu wanazidi kuchanja mbuga,

Na sasa wameanza kutumia fursa ya Vyanzo vyetu vya utalii kupiga pesa.

Rwanda Air kwasasa wana Direct flights kutoka baadhi ya Miji mikubwa Duniani to Kigali, then to JNIA and KIA.

Air Tanzania hawana mpango wowote, wacha majirani watusaidie.

Few to mention Rwanda Air wana Direct flight from Paris to Kigali
London to Kigali.

Air Tanzania wanapeleka Airbus na Boeing Songwe.

..Rwanda Air ina mkono wa Qatar Air usiilinganishe na Atcl.
 
Wenzetu wanazidi kuchanja mbuga,

Na sasa wameanza kutumia fursa ya Vyanzo vyetu vya utalii kupiga pesa.

Rwanda Air kwasasa wana Direct flights kutoka baadhi ya Miji mikubwa Duniani to Kigali, then to JNIA and KIA.

Air Tanzania hawana mpango wowote, wacha majirani watusaidie.

Few to mention Rwanda Air wana Direct flight from Paris to Kigali
London to Kigali.

Air Tanzania wanapeleka Airbus na Boeing Songwe.
Air Tanzania hata ingeruka kutoka hapa hadi makao makuu ya Bank ya dunia ina msaada gani kwa mkulima wa Tangawizi kijijini anayesubiri muujiza wa barabara?
 
Kupata kibali kutua Heathrow Airport ni shughuli haswa
Halafu kuegesha tu malipo yake kwa siku ni balaa
Sasa jamaa kwa jeuri huwa linakaa hata wiki
Ila sijajua sababu
Huwa naiona imepaki Heathrow kila wakati sijui kwa sababu ya Gold za jirani
 
Tunaipenda sana CCM na tabia zake.

Sasa hivi ATCL, DART, TRC ndio machaka yakuajili hovyo hovyo wajomba na ndugu incompetent kwa gharama za Watanzania.

Incompetent kila mahala, CEO wa ATCL na heads of departments, operations na maintenance waajiliwe foreigners hasa weupe kutoka Ulaya kama tunataka performance na return, ila kama tunataka show off na safari za machawa na makada basi tuendelee kufanya kazi wenyewe.
 
Wenzetu wanazidi kuchanja mbuga,

Na sasa wameanza kutumia fursa ya Vyanzo vyetu vya utalii kupiga pesa.

Rwanda Air kwasasa wana Direct flights kutoka baadhi ya Miji mikubwa Duniani to Kigali, then to JNIA and KIA.

Air Tanzania hawana mpango wowote, wacha majirani watusaidie.

Few to mention Rwanda Air wana Direct flight from Paris to Kigali
London to Kigali.

Air Tanzania wanapeleka Airbus na Boeing Songwe.
Sijui Air Tanzania wanashida gani!
Ukipanda Rwanda air from London to Dar, Inakulazimu kusubiria Kigali flight exchange for more than 5hrs, Kigali, na bahati mbaya wana ndege inayopita KIA then Dar, ndio unamaliza siku nzima Kigali to DAr.
Air Tanzania wamelogwa sijui na nini!!
Na sasa naona watu wanaikwepa Kenya Airways. Nairobi wasumbufu sana
 
Back
Top Bottom