Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

Inajenga kwa ajili ya niashati siyo ulinzi kama mleta mada alivyomaanisha. Lkn bado mchango wa mawazo yako ni mazuri na muhimu sana kutupa tahadhari. N
Wapi nimesema wanajenga kwa ajili ya ulinzi?

Punguza mbege bwashee!
 
Chadema imewahi kuongoza Tanzania lini?

Tangu uhuru nchi inatawaliwa na ccm, shame on you all maccm.
 
Nuclear ni cheap energy tatizo na ugumu na hatari ipo kwenye kudeal na mabaki...

Kwa Tanzania yenye vyanzo vingine kama bwawa la Nyerere umeme / nishati itakuwa excess (hatuna sababu ya kuhangaika na nuclear kama wenzetu wasio na alternative
 
Nuclear ni cheap energy tatizo na ugumu na hatari ipo kwenye kudeal na mabaki...

Kwa Tanzania yenye vyanzo vingine kama bwawa la Nyerere umeme / nishati itakuwa excess (hatuna sababu ya kuhangaika na nuclear kama wenzetu wasio na alternative
Comment ya DHAHABU 😍
 
We mbona huna akiri ndugu yangu. Badala ya kuishauri ccm unawaambia chadema as if wako madarakani. Siasa zenyewe wakizifanya wanachapwa risasi mpaka wanakimbia nchi, wakitaka kufanya mikutano wanavamiwa na polisi halafu hulioni hilo we unawalaumu tu unataka wafanyie siasa wapi na hizo sera wazisemee wapi. Labda waende kenya ndo wazisemee huko
 
Bro rwanda ni nchi ndogo sana,kigoma pekee ni kubwa hivyo madarasa kwao ni kitu kidogo tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hebu tulifikiri na hili....

Rwanda itoe Urani kutoka nje na kupitia bandari za Tanzania?!!! 😳

Urani Yao itatoka humuhumu Afrika....je ni wapi?!!!

Je "mzigo utakuwa endelevu" miaka na miaka?!!!

Kutokea wapi huko kwani Rwanda haina Urani.....hapa panafikirisha....
 
Mbona ACT wazalendo wanafanya siasa bwashee?!
 
Wapi nimesema wanajenga kwa ajili ya ulinzi?

Punguza mbege bwashee!
Mbege tena! wakati mimi nimekutetea mbele ya Herode aliyekuelewa kwamba umemaanisha security akaandika "security threat", mimi nikasema mleta mada amemaanisha nishati siyo ulinzi (security threat). Nafikiri uko innocent hujatembea na Herodia hivyo nashauri usikatwe kichwa.
 
Unalalama sana mkuu

Sijui una mchango gani Kwa taifa hili

Hebu tuambie tangu uzaliwe umeshafanya nini cha kuibadili nchi hii?
 
Hahahaaaa...... Samahani mkuu nilidhani ni yule Daudi Mchambuzi wa Machame!
 
Wapi nimesema wanajenga kwa ajili ya ulinzi?

Punguza mbege bwashee!
Rwanda hawana ubavu wa kujenga kinu cha nuclear. Achilia mbali ku-maintain kinu cha nuclear.
Acheni porojo zenu za vijiwe vya alkasusi mujarab.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…