Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

Usiwaingize chadema kwenye masuala yaliyochafuliwa na chama chakavu (CCM)

Umemkumbusha jamaa na ule msemo maarufu “wanachelewesha maendeleo”. Sasa hata hawako, ingekuwa kasi ya maendeleo ni ya ajabu! Anazungumzia kinu cha nyuklia halafu wanalaumiwa Chadema kwa kuchangia familia za washtakiwa. Ingeleta maana kama angesema Chadema walipaswa kuchangia pesa kwa ajili ya ujenzi wa kinu cha nyuklia hapa Tanzania.

Kama taifa tuna kazi kubwa sana! Na hawa ndio wana uwezo na nyenzo za kusema na kusikika!!
 
Rwanda Poulation 13 million , Tanzania 60 million
Ukubwa Tanzania ni 145000KM square, Rwanda ni 26000 kM square.

Uchumi wake mkubwa kutokana na wati wake kidogo na Ardhi yake ndogo. Wanaweza kufanya mabo mengi ya kimaendeleo.
Tanzania kutokana na eneo kubwa na watu wengi ni shida kupata maendeleo kama ya kule. Hatuwezi kushindan na wawo.

kwa nza tuweze kuudhibiti uchumi na halafu tuanze kufikiria hayo.
Kwanza tuwalishe watu wote, kwanza tupeleke huduma kote ndio yafanyike mengine.

Tanzania ikianza program ya Nuclear humu watasema mbona skuli wanakaa chini
 
Mradi unategemea kuzalisha megawati 10 ambayo ukiilinganisha na tunachotegemea kuvuna bwawa la Nyerere kwa kweli ni tembo na panzi. Labda uamue tu kubeza ila Rwanda haina mradi wowote wa kimkakati unaoweza kuulinganisha na ya Tanzania. Changamoto hazikosi ila Tanzania tunasonga
 
Mkuu wewe ni kitu ingine.. Asante kwa mchango mzuri.
 
Nakusoma sana kiongozi...Kuna watu hawaelewi role ya Rwanda Africa....God save our people!
 
Wenzetu Rwanda wanajenga kinu cha Nyukria kwa ajili ya kuzalisha umeme sisi tunakazana na majenereta
Nitashangaa tukisabottage ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, kisha tukaiuzia Rwanda Urani kwa bei ndogo halafu yeye akatuuzia umeme kwa bei ya juu.
 
Vijana wa Nyerere japo wengi waliasi falsafa na wengi wao kuwa walafi, ndiyo wameisaidia Tanzania isitumbukie korongoni kwa spidi kubwa. Hivyo tunatumbukia kidogo kidogo (Gradually Disintegrating)..
Tumeishaanza kutumbukia...mwalimu anaundiwa tume kisa katenda haki kwa kutoa elimu sahihi, kampima mwanafunzi kwa usahihi kwa kuhakikisha hatazamii wakati wa kupimwa uelewa wake.

Tume inakuja na majibu kuwa mwalimu anahujumu juhudi za shule ama chuo kuongeza udahili wa wanafunzi watarajiwa. Wakati shule hiyo ama chuo hicho tayari vimeishazidiwa uwezo wa kuhimili wanafunzi ambao tayari wamewadahili.

Tumeishaanza kutumbukia.
 
Umeeleza vyema Mkuu na pole kwa uchungu uupatao kwa taifa letu, kuna wakati nilikua naumia sana kuhusu maendeleo yetu ya kinyonge laakini nikaona isiwe shida naweza pata ugonjwa Wa moyo bure na ujana wangu huu.

Lakini mkuu! kizazi kijacho kama tutaendelea hivi kitatuona wazee wao kuwa wa ajabu kama tulivyowaona wazee wetu Wa ajabu walivyobadilishana dhahabu kwa pipi. Mataifa yenye watu wazima kiuongozi huwekeza elimu kwa watu wao na sio familia zao.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kwa nchi kama rwanda kinu hicho kitawamaliza wenyewe SIKU Moja,**vinu vya nyuklia huitaji nchi yenye utulivu kama tanzania, lakini nchi yenye maadui kama rwanda kina siku taifa hilo litafutika.
 
Kilimanjaro, Chadema wamehusikaje kwenye habari yako? Yani ww jamaa ni mpumbavu sana...
 
Huyu ndiye MALCOM LUMUMBA ninayemfahamu. Asante sana.
 
Rwanda si kama mkoa tu kwa Tanzania waache wajenge wawe kama kwa kiduku mnataka tuige kila kitu.
 
Na ccm ndiyo kwanza wanajenga chuo cha kuendeleza ideology za kujamaa huko Kibaha. Hopeless kabisa hawa kenge
 
Mkuu yaani wewe ni bipolar...
Kwani Hao CDM ndo wametufikisha hapa tulipo??
 
Unataka wasijenge Ili watoto wakae wapi?..

Kwani lazima kuwa na Nyuklia?
 
Wenzetu Rwanda wanajenga kinu cha Nyukria kwa ajili ya kuzalisha umeme sisi tunakazana na majenereta.


Unakijua vyema kinu cha nuklia cha kuzalishia umeme au Unasema tu??---- kumbuka hilo ni Bomu la nyuklia (encapsulated).

Kwa nchi kama Rwanda kuhodhi hiyo mitambo sio jambo la fahari hata kidigo, angalia Huko Chernobyl Ukraine na Fukushima Japan na hata madhara ya Hiroshima na Nagasaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…