Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

Yaani wewe kama una akili za kukutosha usingeilaumu Chadema hapa
 
Sisi hatuna ugonvi na majirani nyukilia ya Nini?
Huyo mkorofi anagombana na majirani zake ni sawa ili awatishie nyau.
 
Rwanda ambayo eneo lake sawa na wilaya ya Chunya na imeshindwa kufikisha umeme kila mahali ndio wajenge kinu cha nyuklia? Stop this nonsense please
 
Ujumbe mzito sana mkuu ingawa kwenye mchina kutegemewa na mjapan wakati nijuavyo wachina ndo walojikomboa kwenye makucha ya mjapan
 
mkuu siku zote mzalishaji hajawahi kuendelea kumzidi yule mteja wake(mfanya biashara) hivyo basi kama rwanda atahitaji kununua Uranium kutoka TZ yeye ndie atakua na nafasi kubwa ya kuendelea zaidi kuliko TZ ambae ni mzalishaji.
 
Mwamba umemaliza kila kitu
You have my respect Sir ,Hat Off !
 
Umesema ukweli kabisa mkuu. Tatizo nchi yetu inaongozwa na genge LA watu waliopo kwa ajili ya maslahi binafsi.

Miaka 60 ya Uhuru, bado hatuna dira ya taifa wala mfumo mahususi wa kuwapata viongozi wakuu!!??
 
Rwanda nikitisho kikubwa kwa usalama wetu na kama serikali na Tiss wasipokuwa smart this dude atatulambisha mchanga...
Unaweza dhani ni masihara ila jiulize wanafanya nini Mozambique? Why sasa? Tumewaingiza idara zetu na kuweka switch za umeme Rwanda? Well pray for my nation.
 
Rwanda ni nchi ndogo sana kama mkoa mmoja tu wa Tanzania Bara. Ukumbuke hilo unapozilinganisha hizi nchi mbili.
Hata Uswis ni ndogo sana lakini pato na maendeleo yake ni maradufu ya hapa kwetu. Ukubwa wa nchi yetu ni kama ukubwa wa pua si wingi wa makamasi.
 
Frankly Speaking Rwanda haiwezi kuizidi Tanzania kitu chochote ni hofu na uelewa mdogo...

Maendeleo ya Viwanda Ulaya yalianzia Uiengereza baade mataifa Jirani yalivoona maendeleo ya Uingereza yawatisha wakaanza nao mwisho wa siku wakawa sawa.

Huko East Asia, China, Korea (Josean wakati huo), pamoja na Japan zilikuwa na Sera ya kutoingiliana na mataifa ya magharibi, Japan akawa wa Kwanza kujifunza kwa watu wa magharibi wakaanza kuzivamia China na Korea na Mataifa mengi ya Pacific... lakini Wachina na Wakorea hawakuridhika wakaanza nao kuwa kama mataifa ya Magharibi

Leo Japan, China na Korea hawatishani.

Kwa Afrika Mashariki Tanzania itabaki na kuendelea kuwa taifa kubwa na lenye nguvu..

Miaka 5 iliyopita Kenya Airways, Rwanda Air ways ndio yalikuwa mashirika Maarufu ukanda huu lakini leo tunavoongea ATCL inatakribani ndege 16 ambazo ni nusu ya KQ (40).

2013, Kenya, Uganda na Rwanda waliaamua kuunzisha umoja wao ili kujenga SGR leo tunavoongea ni Tanzania na Kenya ndio tumeweza kuanza na Tena Tanzania tumejengwa way more better than anyone.

Ikija kwenye Kutumia Urani, Only Tanzania na Kenya ndio wanaweza kuanza haraka na ndani ya muda mfupi, Rwanda is too overrated

NOTE: Hakuna Taifa dhaifu linazongukwa na Taifa lenye nguvu.
 
Rwanda ni nchi yenye Raia ( Watu ) Intelligent sana kuliko Taifa moja Afrika Mashariki ( nimeisahau Jina ) lenye Upuuzi na Ushamba mwingi.
 
Huna akili cdm inaingiaje hapo? Imewahi kushika nchi? Watu kama nyie hatuwez kupata maendeleo kwa mawazo ya kijinga kama hayo
 
Hivyo unataka kusema Tanga inaweza fanana na Rwanda nzima? (sijasema kigali)
 
Yaan ndugu mbatizaji hujaona bwawa letu kule la Nyerere unatusimanga.

Hujaona SGR ?

Hujaona maeropleni tunavyo yaagiza?

Kuwa na heshima aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…