Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Kagame can speak three languages, English, Kinyarwanda, and French,[369] and is a supporter of Arsenal F.C.[370] He is Catholic.[371][372]Kagame msabato. Wasabato na wakatoliki ni maji na mafuta
Rwanda ndo nchi pekee duniani inayoongoza ukienda bar unaagiza maziwa!Angeongeza Bars za pombe na nyama choma, Casino + gambling, na brothel houses. Uchumi muhimu, wale wadada wote wakiwa baa maid tuta hamia Rwanda.
siyo hivyo rwanda hawapendi kelele kuna maeneo maluumKagame msabato. Wasabato na wakatoliki ni maji na mafuta
Inyange 👍Rwanda ndo nchi pekee duniani inayoongoza ukienda bar unaagiza maziwa!
siyo hivyo rwanda hawapendi kelele kuna maeneo maluum
hivyo wananchi wakipeleka taarifa tu kuwa kanisa fln wanapiga kelele
serkali haijiulizi mara2 kulifunga.niliona tiktok wasabato pia kuna kanisa lilifungwa
Haya maziwa sio poa ,ukiyachemsha povu kama loteInyange [emoji106]
PK muda sio mrefu wanampeleka ICCSerikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.
Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.
Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo