Rwanda yafunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki

Tanzania ina cha kujifunza kwenye hizo parokia!
 
Wafuate vigezo na masharti kama hayo ambayo hayajafungiwa....maana viboko wa wachawi wapo wegni africa.
 
Kuna sheikh ana degree kule Rwanda kweli? Maanake kigezo kilikua ndio hicho; huna ANAFUNGA na jamaa hanaga gear ya reverse kama JPM
Alafu usichokijua msikiti ni tofauti na kanisa kwamba ukipata sehemu we unafungua tu unaanza kupiga hela,, msikiti sio wa shekhe bali ni waumini,, hebu nitajie shekhe yoyote unaemjua wewe anaemiliki msikiti, na kwenye imani ya kiislam kigezo sio degree huku ni kufuata mafundisho ya kiislam kama yalivyoagizwa na mungu so hizo degree zake ukiingia msikitini unaziacha nje
 
Hapa kwetu walokole wangepigwa pini maana ndo kila kitu wanaimba prey for isreli
 
Ukileta hapa kwetu nchi itawaka moto,,imagine Kizee kivaa kobazi na kanzu lake limepauka, imagine vimama vya kilokole vilivozoea kukanyaga mafuta....watu hawa wamepokea dini kuliko wenye nazo...chanzo cha umaskini wa taifa letu.
Ujuwe umenivunja mbavu wewe nikivuta na kumbukumbu, hapa watu hawaelewi nachekea nini?
 
Historia ya miaka ya karibuni inaonyesha kwamba,tawala zote zinazoenda kinyume na neno la MUNGU huwa zinakoma kutawala,yaani huwa zinaparagantika,tuanze na mfano wa iliyokuwa Urusi ya zamani yaani Soviet union au (USSR).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…